FULL VIDEO: Harusi ya Dogo Janja na Irene Uwoya

FULL VIDEO: Harusi ya Dogo Janja na Irene Uwoya

kwa wastani nimeona kikundi cha wahuni tu na wala sio shughuli ya ndoa
 
Kula mboga za juzi wakati fresh zimejaa jikoni.............huyu dogo ana roho ngumu.
 
Ukiona vyangu vinaliwa usioshe vyombo x2*kumbuka hiyo ni halua haina makombo x2
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Kitoto kitamchosha sana kwenye "machezo" uwiiiiii!!!!
 
Najaribu kuwaza janjaro anavokurupushwa alfajiri kuandaa chai ya aliemuoa
 
Back
Top Bottom