Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimaye kile kitendawili sasa kimeteguliwa. Sio kiki ya muziki wala movie mpya kama ilivyodhaniwa.
Nimewaletea video ya tukio zima la harusi kati ya Mr & Mrs Chande.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....mung ankuon ujueKwamba niki ndo mzee sana au?
Kuna watu wanapenda viporo, hata ukimpa kitu fresh anaweka uvunguni aje kula kesho.Kula mboga za juzi wakati fresh zimejaa jikoni.............huyu dogo ana roho ngumu.
Walisema hivyo hivyo kwa Mh Mbunge Haule....mpaka aliimba kwenye wimbo KIPI SIJASIKIA......"wakasema nina ukimwi kwa kuwa nilikonda ghafla...wanataka kunizika mzima kabla sijafa..waliosema nina ngoma wengine tushafukia".Jamani si walisema irene ana ngwengwe
Kweli aiseeWalisema hivyo hivyo kwa Mh Mbunge Haule....mpaka aliimba kwenye wimbo KIPI SIJASIKIA......"wakasema nina ukimwi kwa kuwa nilikonda ghafla...wanataka kunizika mzima kabla sijafa..waliosema nina ngoma wengine tushafukia".
Kuna watu hata siwaelewaji kabisa, sometimes nashindwa kuelewa watu wanayachukuliaje maisha...Thinking capacity, understanding or opportunists. Mgombea ubunge wetu huyu sijamwelewa kabisa..
We jamaa kichaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ngoja ni-zoom ili uelewe zaidi,
View attachment 623220
Kuna kitu cha kujifunza hapa. Tusiogope ukubwa wa samaki.
TUULIZE BEI.
Kuna watu wanapenda viporo, hata ukimpa kitu fresh anaweka uvunguni aje kula kesho.