Full video: Nyumbani kwa mtoto wa Bakhresa ni maajabu matupu, huwezi Amini

Comment of the Year mkuu.
Watu wanauza utu wao wakati maisha yenyewe haya hayana guarantee.
Ingekua tunaishi milele ingemake japo sense!
Simpo life. Peace of mind ni succesful life.
 
Huu ni mfano mdogo tu wa Ma Billioner wa mbele.... Hela tamu sana.....

[Roman Abramovich ] and his Crazy US$ 1.5 billion Yacht















Yote ya nini ayo? Halafu apo ukute anaamka asubuhi kwenda ofisni anarudi jioni kachoka hana hata muda nayo haha maisha haya
 
Unachoshangaa nn akati kila siku king'amuzi kimeisha unakimbilia fasta kurecharge mkuu. Huku channel zenyewe za ujanja ujanja tuuu price kuubwaa
 
Cha ajabu ni kipi? Au mnataka akatoe zawadi kwa bersheaty?
 
Doooh, kuna watu wanaishi aisee....... wengine.tuna dumu tu!!
 
Kweli kuna tofauti kati ya Ntu na Mtu
Mungu wa kwetu sote labda na sisi kesho tutapata
 
Hapo ni kwa yusuf sio kwwa said
Ebu msomeni upya mtoa mada nadhani mmekurupuka kujibu
Acha kupotosha umma wewe. Hiyo nyumba sio ya Mzee S.S Bakhresa. Kama hujui mambo uliza.
Hiyo nyumba ni ya mtoto wake iko Mikocheni. Mzee S.S.B anaishi Masaki.
Pambana na hali yako mkuu, usije kujipiga kitanzi bure.
 
Umbulula gari zote hizo za kazi gani,kwani akitaka toka si anapanda moja tu
 
Sure. There is a big different between a house and a home
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…