Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambie waache kazi watafute kwenye malipo makubwaKama tajir kiasi hicho mbona kampuni same malipo kidoncho sana wafanyakaz wanalalamika sana
Haha MkuuTenda yaliyo Mema utavikuta Peponi, Duniani Wewe tayari ni fungu la kukosa
Comment of the Year mkuu.Maisha hayana mshindi pambana kutafuta peace of mind. Maisha halisi ni yale ambayo unayaishi yanayokupa furaha na amani, kwa kujikubali ulivyo na kufanya yale yaliyo ndani ya uwezo. Pambana jichunguze ujielewe wewe ni nani hapa duniani then do your thing pambana na maisha haya na mahitaji yake lakini usiyaruhusu yakuzuie kupractise ule utu wako wa asili uliozaliwa nao, ile talanta, kile kipaji, ule uwezo wako, ile sifa yako unique, kwa ufupi maisha huwa tunatafuta peace of mind, na hiyo peace of mind haiwezi kuja kwa kuwa na mambo mengi ya duniani, katika maisha ukishakuwa na nyumba yako nzuri ya kuishi, ukaishi kwa amani na upendo na familia yako, hausumbuki na kuwaza pesa ya kula, una uwezo wa kusomesha watoto wako pasipo mashaka, uko na usafiri wako (kwa maisha ya kibongo bongo), ukawa na afya njema na mengineyo yafananayo na hayo hakika utakuwa na furaha ya maisha yako.
emmyta habari za muamko dadake?
Yote ya nini ayo? Halafu apo ukute anaamka asubuhi kwenda ofisni anarudi jioni kachoka hana hata muda nayo haha maisha hayaHuu ni mfano mdogo tu wa Ma Billioner wa mbele.... Hela tamu sana.....
[Roman Abramovich ] and his Crazy US$ 1.5 billion Yacht
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Oyooo naona una utani na jamaaMuda baba yake anawekeza, mzee wako alikua busy na manati nini.......
Acha kabisa kaka, bangi mbaya. Nimemshangaa kabisa.Hv vipasso namba D ni zaidi ya hyo gari namba B? bangi mbaya sana
Mtu asiyejulikanaBackhresa ndo nani?
Ebu msomeni upya mtoa mada nadhani mmekurupuka kujibuHapo ni kwa yusuf sio kwwa said
Acha kupotosha umma wewe. Hiyo nyumba sio ya Mzee S.S Bakhresa. Kama hujui mambo uliza.
Hiyo nyumba ni ya mtoto wake iko Mikocheni. Mzee S.S.B anaishi Masaki.
Pambana na hali yako mkuu, usije kujipiga kitanzi bure.
Wewe ndie umekurupuka mada imeeditiwa hiyoEbu msomeni upya mtoa mada nadhani mmekurupuka kujibu
Post #52 ndio imecopy originalEbu msomeni upya mtoa mada nadhani mmekurupuka kujibu
Sure. There is a big different between a house and a homeMaisha hayana mshindi pambana kutafuta peace of mind. Maisha halisi ni yale ambayo unayaishi yanayokupa furaha na amani, kwa kujikubali ulivyo na kufanya yale yaliyo ndani ya uwezo. Pambana jichunguze ujielewe wewe ni nani hapa duniani then do your thing pambana na maisha haya na mahitaji yake lakini usiyaruhusu yakuzuie kupractise ule utu wako wa asili uliozaliwa nao, ile talanta, kile kipaji, ule uwezo wako, ile sifa yako unique, kwa ufupi maisha huwa tunatafuta peace of mind, na hiyo peace of mind haiwezi kuja kwa kuwa na mambo mengi ya duniani, katika maisha ukishakuwa na nyumba yako nzuri ya kuishi, ukaishi kwa amani na upendo na familia yako, hausumbuki na kuwaza pesa ya kula, una uwezo wa kusomesha watoto wako pasipo mashaka, uko na usafiri wako (kwa maisha ya kibongo bongo), ukawa na afya njema na mengineyo yafananayo na hayo hakika utakuwa na furaha ya maisha yako.
emmyta habari za muamko dadake?