Full video: Nyumbani kwa mtoto wa Bakhresa ni maajabu matupu, huwezi Amini

Ukiona mwezako kabarikiwa sema ''Ma shaa Allah'' kwani huondoa chuki,husda na vijicho. Ma shaa Allah
Nilikuwa sijajua mkuu...asante kwa kunijuza..ndo maana hapo ustaadh kakazana....mashallah ....mashallah
 
Wewe ndie umekurupuka mada imeeditiwa hiyo
Majitu kama haya huwa sihangaiki nayo mkuu. Lingechukua muda na kusoma posts kadhaa humu labda lingejifunza kitu. Hii inadhihirisha JF kwa sasa imekuwa ni platform ya aina gani.
 
Maa Sha Allah, huyu jamaa kiboko, sasa hao matajiri walioko top ten duniani wakoje!!!? Kama huyu tu wetu hali ya hom iko hivi.....
Ulifanya Jambo la maana sana kunukuu hiyo mada mkuu. Tutaitumia kama reference kuelimisha misukule humu.
 
Halafu waziba pua wanalalamika ..... Tanzania is not a good place to invest
 
Waulize kina mkapa na sumaye nini kilitokea baada ya kumwaga unga wa Bakhresa kwa figisu.Bashite aendelee na haohao kina GSM,bakhresa ni moto mwengine aisee.
Ndio nasikia kwako mkuu,ebu nipe info zaidi mkuu
 
Ndio nasikia kwako mkuu,ebu nipe info zaidi mkuu
Walimwaga ngano yako baharini kwa madai kuwa uko chini ya kiwango/haufai kwa matumizi ya binaadamu,tena jeshi lilitumika,kisa eti alitoa mchango unaofanana kwa CCM na CUF kwenye uchaguzi wa kipindi hicho, wenye unga wao wakaenda mahakamani,ikabidi serikali ilipe fidia ndo akapewa kiwanda kile cha buguruni ambacho mwanzo kilikuwa cha serikali.
 
Manshaa Allah
Kwa nyumba kweli he has a very good taste.
Nyumba imetulia sana mpangalio wake ni ajab ila upande wa magari hapana naona sio mpenzi wa magari kihivyo
Naona Ferrari na Range Rover hapo Rolls Royce hapana na Audi Avant kweli? ningeona Audi SR8 hapo karibu na Range.
Kuna jaguar F-TYPE hiyo kali nice car, Porsche cayenne ipo hapo.
Nakumbuka kuna wakati nilikuwa Horohoro nikaona Bentley ya mzee B inashuka hapo. Ni beast hilo RR cha mtoto.
 
Kama kusema ukweli unapata dhambi; potelea mbali nipate tu lakini God is not fair! Haiwezekani bhana, wote tuna-hustle kishenzi lakini tunaishia kupata za kupangia chumba uswahilini!
 
Dah! Kuna wengine hata wakienda motoni poa tu manake huku duniani walishaonja pepo! Lakini haya mambo ya duniani motoni, ukienda kuzimu nako unatupwa motoni!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…