Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa sijajua mkuu...asante kwa kunijuza..ndo maana hapo ustaadh kakazana....mashallah ....mashallahUkiona mwezako kabarikiwa sema ''Ma shaa Allah'' kwani huondoa chuki,husda na vijicho. Ma shaa Allah
Majitu kama haya huwa sihangaiki nayo mkuu. Lingechukua muda na kusoma posts kadhaa humu labda lingejifunza kitu. Hii inadhihirisha JF kwa sasa imekuwa ni platform ya aina gani.Wewe ndie umekurupuka mada imeeditiwa hiyo
Ulifanya Jambo la maana sana kunukuu hiyo mada mkuu. Tutaitumia kama reference kuelimisha misukule humu.Maa Sha Allah, huyu jamaa kiboko, sasa hao matajiri walioko top ten duniani wakoje!!!? Kama huyu tu wetu hali ya hom iko hivi.....
hardworking ndio itakupa maisha mazuriJazia nyama mkuu tuelewe shule hiyo unayoisemea ni ya kiwango gani na kuchapa kazi huko unakozungumzia ni kupi?
Ndio nasikia kwako mkuu,ebu nipe info zaidi mkuuWaulize kina mkapa na sumaye nini kilitokea baada ya kumwaga unga wa Bakhresa kwa figisu.Bashite aendelee na haohao kina GSM,bakhresa ni moto mwengine aisee.
Walimwaga ngano yako baharini kwa madai kuwa uko chini ya kiwango/haufai kwa matumizi ya binaadamu,tena jeshi lilitumika,kisa eti alitoa mchango unaofanana kwa CCM na CUF kwenye uchaguzi wa kipindi hicho, wenye unga wao wakaenda mahakamani,ikabidi serikali ilipe fidia ndo akapewa kiwanda kile cha buguruni ambacho mwanzo kilikuwa cha serikali.Ndio nasikia kwako mkuu,ebu nipe info zaidi mkuu
Dah Kumbe ndio hii tafsiri yake aante!Fight with your condition
Hii video chini inaonesha maisha halisi ya Yusuph Salim Bakhresa , Na Mali anazomiliki ndani.
Magari ya kifahari zaidi ya 20 ndani, Na mengine jionee
Nawewe unaamini hiziMaisha haya kutoka kuwa fundi viatu,mpiga kiwi barabarani mpaka kumiliki migari hiyo hatari
Dah ukisikia zari la mentali ndio hiyo
Hii video chini inaonesha maisha halisi ya Yusuph Salim Bakhresa , Na Mali anazomiliki ndani.
Magari ya kifahari zaidi ya 20 ndani, Na mengine jionee
Hehehehe kina NANI sasaHalafu waziba pua wanalalamika ..... Tanzania is not a good place to invest
mkuu kwa hivi vimishahara utajiri tutausikia kwenye bombaNoma sana yani, kwa hali hii ya kuridhika na mishahara ya mil.3 tutafika kweli huko? Kweli ujasiriamali ndio msema kweli wazee
Umenena vyema mkuuUliyerekodi hii ni mchonganishi, unamtafutia ubaya na serikali hii.