Mama Obama
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 1,621
- 1,087
Kwamba eti Yesu kasema hivi mara kasema vile ni hoja isiyo na maana yoyote ile manake wala sijawahi kukutana na hao Wakristo wanaotoa mali zao eti kisa Bible imesema! Though am muslim but 95% of my friends ni Christians ambao hata hilo fungu la 10 lenyewe hakuna anayetoa the way inavyotakiwa!!!!
Turudi kwa Bill Gates! Huko Kigoma unakosema alifikia hotel ya kawaida, unaweza kutuambia hapa alifikia hotel gani? Hotel name plz?
Umedai Bill Gates anatumia economy class anaposafiri! Nimekuuliza how come atumie economy class wakati ana ndege binafsi? Bado hujajibu!
Mwaka 2014 iliripotiwa Bill Gates alikodisha boti(yatcht) kwa gharama ya USD 5million/week kwa ajili ya kula bata halafu unadai anaishi maisha ya kawaida!!! Google "Bill Gates + Serene Yacht"
Aidha, umedai anaishi maisha ya kawaida! Nimekuambia mansion ya Gates ina thamani ya USD125 M, zaidi ya 250 billion za Tanzania! Nimekujatajia na some of luxuries hapo kwake! Ni mansion ya kawaida hiyo?
And REMEMBER, hapo nimemzungumzia Bill Gates mwenyewe wakati wanaofanya hizo kufuru hapo juu sio Mzee Bakhresa mwenyewe bali ni watoto wake!
Good for Gates kwamba watoto wake wote bado wadogo! Mkubwa kabisa ndo kwanza 21 na ni wa kike!
View attachment 597612
Huyo jamaa ni mchepuko wake, Mwarabu kutoka Misri!!! Watoto a kishua sijui wamegundua nini toka kwa Waarabu wa Misri hapa nikimkumbuka Princess Diana!
Sasa kwa umri kama huo she's still very young na hata kama angekuwa mwanaume, bado asingekuwa na uhuru wa kufanya hayo wanayofanya watoto wa Bakhresa!
The only boy still yupo Under 20. Ungeona fujo zao kama ingekuwa ni watoto wa kiume ambao wangekuwa at least 25!!!
Kwamba Bakhresa sio kweli hata kidogo!!! Bakhresa huyu huyu anayesali na maskini wengine kwenye msikiti mmoja ndie unayesema amejijengea ukuta?!
Huwezi kuwa na Utajiri mkubwa hivyo Tanzania na magali yasiyokuwa na maana ukizungukwa na masikini. Kusali na masikini sio kitu, kusaidia ni kitu..
Hapa Bill gates yuko `India anasaidia. Kukaa na wenye ni chini ni tajiri na anatumia Mali yake kuwainuwa masikini duniani
Kwamba eti Yesu kasema hivi mara kasema vile ni hoja isiyo na maana yoyote ile manake wala sijawahi kukutana na hao Wakristo wanaotoa mali zao eti kisa Bible imesema! Though am muslim but 95% of my friends ni Christians ambao hata hilo fungu la 10 lenyewe hakuna anayetoa the way inavyotakiwa!!!!
Turudi kwa Bill Gates! Huko Kigoma unakosema alifikia hotel ya kawaida, unaweza kutuambia hapa alifikia hotel gani? Hotel name plz?
Umedai Bill Gates anatumia economy class anaposafiri! Nimekuuliza how come atumie economy class wakati ana ndege binafsi? Bado hujajibu!
Mwaka 2014 iliripotiwa Bill Gates alikodisha boti(yatcht) kwa gharama ya USD 5million/week kwa ajili ya kula bata halafu unadai anaishi maisha ya kawaida!!! Google "Bill Gates + Serene Yacht"
Aidha, umedai anaishi maisha ya kawaida! Nimekuambia mansion ya Gates ina thamani ya USD125 M, zaidi ya 250 billion za Tanzania! Nimekujatajia na some of luxuries hapo kwake! Ni mansion ya kawaida hiyo?
And REMEMBER, hapo nimemzungumzia Bill Gates mwenyewe wakati wanaofanya hizo kufuru hapo juu sio Mzee Bakhresa mwenyewe bali ni watoto wake!
Good for Gates kwamba watoto wake wote bado wadogo! Mkubwa kabisa ndo kwanza 21 na ni wa kike!
View attachment 597612
Huyo jamaa ni mchepuko wake, Mwarabu kutoka Misri!!! Watoto a kishua sijui wamegundua nini toka kwa Waarabu wa Misri hapa nikimkumbuka Princess Diana!
Sasa kwa umri kama huo she's still very young na hata kama angekuwa mwanaume, bado asingekuwa na uhuru wa kufanya hayo wanayofanya watoto wa Bakhresa!
The only boy still yupo Under 20. Ungeona fujo zao kama ingekuwa ni watoto wa kiume ambao wangekuwa at least 25!!!
Kwamba Bakhresa sio kweli hata kidogo!!! Bakhresa huyu huyu anayesali na maskini wengine kwenye msikiti mmoja ndie unayesema amejijengea ukuta?!
Kusali na masikini musikiti mmoja sio kitu, kusaidia ni kitu.. Kuwa na Utajiri wa kurundikiza magari kwenye nchi hata barabara haina ni ujinga. Bill Gates anashare Utajiri wake na madikini sio tu Tanzania bali dunia ujinga,
Kwamba eti Yesu kasema hivi mara kasema vile ni hoja isiyo na maana yoyote ile manake wala sijawahi kukutana na hao Wakristo wanaotoa mali zao eti kisa Bible imesema! Though am muslim but 95% of my friends ni Christians ambao hata hilo fungu la 10 lenyewe hakuna anayetoa the way inavyotakiwa!!!!
Turudi kwa Bill Gates! Huko Kigoma unakosema alifikia hotel ya kawaida, unaweza kutuambia hapa alifikia hotel gani? Hotel name plz?
Umedai Bill Gates anatumia economy class anaposafiri! Nimekuuliza how come atumie economy class wakati ana ndege binafsi? Bado hujajibu!
Mwaka 2014 iliripotiwa Bill Gates alikodisha boti(yatcht) kwa gharama ya USD 5million/week kwa ajili ya kula bata halafu unadai anaishi maisha ya kawaida!!! Google "Bill Gates + Serene Yacht"
Aidha, umedai anaishi maisha ya kawaida! Nimekuambia mansion ya Gates ina thamani ya USD125 M, zaidi ya 250 billion za Tanzania! Nimekujatajia na some of luxuries hapo kwake! Ni mansion ya kawaida hiyo?
And REMEMBER, hapo nimemzungumzia Bill Gates mwenyewe wakati wanaofanya hizo kufuru hapo juu sio Mzee Bakhresa mwenyewe bali ni watoto wake!
Good for Gates kwamba watoto wake wote bado wadogo! Mkubwa kabisa ndo kwanza 21 na ni wa kike!
View attachment 597612
Huyo jamaa ni mchepuko wake, Mwarabu kutoka Misri!!! Watoto a kishua sijui wamegundua nini toka kwa Waarabu wa Misri hapa nikimkumbuka Princess Diana!
Sasa kwa umri kama huo she's still very young na hata kama angekuwa mwanaume, bado asingekuwa na uhuru wa kufanya hayo wanayofanya watoto wa Bakhresa!
The only boy still yupo Under 20. Ungeona fujo zao kama ingekuwa ni watoto wa kiume ambao wangekuwa at least 25!!!
Kwamba Bakhresa sio kweli hata kidogo!!! Bakhresa huyu huyu anayesali na maskini wengine kwenye msikiti mmoja ndie unayesema amejijengea ukuta?!
Redirect Notice