Full video: Nyumbani kwa mtoto wa Bakhresa ni maajabu matupu, huwezi Amini

Kwamba eti Yesu kasema hivi mara kasema vile ni hoja isiyo na maana yoyote ile manake wala sijawahi kukutana na hao Wakristo wanaotoa mali zao eti kisa Bible imesema! Though am muslim but 95% of my friends ni Christians ambao hata hilo fungu la 10 lenyewe hakuna anayetoa the way inavyotakiwa!!!!

Turudi kwa Bill Gates! Huko Kigoma unakosema alifikia hotel ya kawaida, unaweza kutuambia hapa alifikia hotel gani? Hotel name plz?

Umedai Bill Gates anatumia economy class anaposafiri! Nimekuuliza how come atumie economy class wakati ana ndege binafsi? Bado hujajibu!

Mwaka 2014 iliripotiwa Bill Gates alikodisha boti(yatcht) kwa gharama ya USD 5million/week kwa ajili ya kula bata halafu unadai anaishi maisha ya kawaida!!! Google "Bill Gates + Serene Yacht"

Aidha, umedai anaishi maisha ya kawaida! Nimekuambia mansion ya Gates ina thamani ya USD125 M, zaidi ya 250 billion za Tanzania! Nimekujatajia na some of luxuries hapo kwake! Ni mansion ya kawaida hiyo?

And REMEMBER, hapo nimemzungumzia Bill Gates mwenyewe wakati wanaofanya hizo kufuru hapo juu sio Mzee Bakhresa mwenyewe bali ni watoto wake!

Good for Gates kwamba watoto wake wote bado wadogo! Mkubwa kabisa ndo kwanza 21 na ni wa kike!

View attachment 597612
Huyo jamaa ni mchepuko wake, Mwarabu kutoka Misri!!! Watoto a kishua sijui wamegundua nini toka kwa Waarabu wa Misri hapa nikimkumbuka Princess Diana!

Sasa kwa umri kama huo she's still very young na hata kama angekuwa mwanaume, bado asingekuwa na uhuru wa kufanya hayo wanayofanya watoto wa Bakhresa!

The only boy still yupo Under 20. Ungeona fujo zao kama ingekuwa ni watoto wa kiume ambao wangekuwa at least 25!!!

Kwamba Bakhresa sio kweli hata kidogo!!! Bakhresa huyu huyu anayesali na maskini wengine kwenye msikiti mmoja ndie unayesema amejijengea ukuta?!

Huwezi kuwa na Utajiri mkubwa hivyo Tanzania na magali yasiyokuwa na maana ukizungukwa na masikini. Kusali na masikini sio kitu, kusaidia ni kitu..
Hapa Bill gates yuko `India anasaidia. Kukaa na wenye ni chini ni tajiri na anatumia Mali yake kuwainuwa masikini duniani

Kusali na masikini musikiti mmoja sio kitu, kusaidia ni kitu.. Kuwa na Utajiri wa kurundikiza magari kwenye nchi hata barabara haina ni ujinga. Bill Gates anashare Utajiri wake na madikini sio tu Tanzania bali dunia ujinga,

Redirect Notice
 
I am serious and that is the truth. Amekuja Tanzania akaenda kigoma na muke wake kwenye hotel ya kawaida. Hana haja ya kujionyesha, anamuonyesha nani, wakati 90% ya Watanzania wanaishi chini ya dola moja, magali yote ya nini kwenye nchi hata barabara hatuna, kwenye nchi sehemu nyingine watoto wetu wanasomea chini ya miti. Sijui wewe ni dini gani, lakini kwenye dini ya kikiristo, tajiri alimuuliza Yesu, Nitafanyaje ili niingie mbinguni? Natowa sadaka, naenda kanisani, nafuata sheria zote. Yesu akamwambia NENDA kauze Mali zako zote uwagawie masikini. Ikifika hapo sisi wote tunashindwa, ikiwa pamoja na mimi. Mali nyingi kama hizo hazina maana wala hufaidi ukiwa umezungukwa na masikini. Sisemi anapoishi kuna masikini, pengine hata hawaoni, amejijengea ukuta mrefu, lakini huwezi kutembea Dar es Salaam ufike mbali bila kuona shida za watu wengi ambao hawana namna ya maisha. Hawa watu wamecontribute kwenye utajiri mkubwa wa HUYU bwana. Na ukichunguza Utajiri wa kila mtu haswa Afrika kuna udanganyifu ndani yake. Hata kama wewe ni tajiri, HAUNA haja ya magali 100 ya gharama wakati umezungukwa na masikini. Your conscious must not allow that.
akili yako imejaa upumbavu uliopindukia..Zero brain..nonsense..
 
Kwanza nimekuuliza "ina maana mtu aache kuishi maisha anayomudu eti kisa kuna maskini as if huo umaskini amegawa yeye?" Jibu kwanza hilo swali!'

Pili, ikiwa viongozi wa serikali wenye wajibu wa kuondolea wananchi umaskini na wenyewe wanaishi maisha ya anasa; how come unamtaka raia asiwe na wajibu huyo yeye awe ndie wa ku-sacrifice his/her happiness? JIbu swali la pili or else maelezo yako ni baseless!

Tatu, umesema Bakhresa amejiwekea ukuta! Unafahamu maana ya msemo kujiwekea ukuta au umeutumia tu bila kufahamu matumizi yake?! Nikakupa mfano kuonesha madai yako kwamba amejijengea ukuta ni madai yasiyo na maana yoyote!

Mtu aliyejiwekea ukuta ni yule ambae ameji-exclude na jamii kitu ambacho kwa Bakhresa sio kweli kwamba ameji-exclude na jamii!

Btw, umefahamu vp kwamba Bakhresa hasaidii watu?! Au kwavile hujawaji kusikia "Bakhresa Foundation" kama unavyosikia Bill Gates Foundation?! Au unadhani kila mmoja akitoa misaada anaenda kwenye tv na radio kutangaza kwamba amesaidia watu? Na kwa mtazamo wako huo bila shaka unaamini tajiri pekee anayesaidia watu Tanzania hii ni Mzee Mengi peke manake hata akilisha watu ubwabwa pale Diamond Jubilee, lazima pawe na kipindi maalumu ITV kuonesha watu wakitandika pilau!!!!

Look here:
Azam01.png

Unataka kusema hiyo Certificate of Recognition imetokana na mchango wake wa kuuza unga na icecream?
 
I am serious and that is the truth. Amekuja Tanzania akaenda kigoma na muke wake kwenye hotel ya kawaida. Hana haja ya kujionyesha, anamuonyesha nani, wakati 90% ya Watanzania wanaishi chini ya dola moja, magali yote ya nini kwenye nchi hata barabara hatuna, kwenye nchi sehemu nyingine watoto wetu wanasomea chini ya miti. Sijui wewe ni dini gani, lakini kwenye dini ya kikiristo, tajiri alimuuliza Yesu, Nitafanyaje ili niingie mbinguni? Natowa sadaka, naenda kanisani, nafuata sheria zote. Yesu akamwambia NENDA kauze Mali zako zote uwagawie masikini. Ikifika hapo sisi wote tunashindwa, ikiwa pamoja na mimi. Mali nyingi kama hizo hazina maana wala hufaidi ukiwa umezungukwa na masikini. Sisemi anapoishi kuna masikini, pengine hata hawaoni, amejijengea ukuta mrefu, lakini huwezi kutembea Dar es Salaam ufike mbali bila kuona shida za watu wengi ambao hawana namna ya maisha. Hawa watu wamecontribute kwenye utajiri mkubwa wa HUYU bwana. Na ukichunguza Utajiri wa kila mtu haswa Afrika kuna udanganyifu ndani yake. Hata kama wewe ni tajiri, HAUNA haja ya magali 100 ya gharama wakati umezungukwa na masikini. Your conscious must not allow that.
Yani ww ni bure kabisa. Kichwa kipo waz. Ulitaka akajengewe hotel ya nyota5 kiguma??
 
Hii thread ni ya kishabiki tu. Ukiifuatilia ndani ina siasa za maji taka. Nimeangalia kidogo tu hii video mimi sijaona ajabu lolote kwenye hiyo nyumba, sema ushamba na ujinga wa mleta huu uzi ndio anaona nyumba ya ajabu. Niatarudi baada ya kumalizia hii video yake.
Wivu
 
Mashion yake iko Marekani, Nina uhakika hawezi kujenga mansion kama hiyo katikati ya masikini. Utajiri wake hawaonyeshi masikini anashare na masikini. Angelia hapa trip yake kigoma. Na. Utajiri wake wote amekaa chini na masikini, anakula na masikini. Jiulize Tanzania tena Kigoma na Mali zote hizo anskuja kufanya nini? Kusaidia na siyo kuonyesha Mali zake.
bill gates and his wife vidit kigoma tanzania - Google Search:
Mikocheni wanakaa maskini? Mbona umekomalia kajenga nyumba katikati ya maskini? Ingekua manzese si ungekufa kabisa. Yani kwenye watanzania wenye wivu ww namba 1
 
WATU MASKINI WAKO BUSY KUJADILI MAISHA YA WATU, HUKU MATAJIRI WAKIWA BUSY KUJADILI MIPANGO YA KIUCHUMI.
 
Ahahahaha! Rafiki ......

Aisee. Maisha haya ukiyawazia sana unaweza changanyikiwa maana kuna watu wana maisha ambayo ukiyafikiria mara mbili mbili unaweza kulia wee kwa uchungu na bado usiwe na uwezo wa kuwafikia

Ila ndio hivyo wacha tupambane na hali zetu kwa hivi vidogo tulivyojaaliwa mana hakuna jinsi.
 
Nafikiri focus ni kitu muhimu sana kwenye maisha. unapo poteza hii kitu ni ngumu kufikia goal zako

Jazia nyama mkuu tuelewe shule hiyo unayoisemea ni ya kiwango gani na kuchapa kazi huko unakozungumzia ni kupi?
 
Anaishi "MAISHA YA RAHA ZA AJABU"
 
Kumbuka nyumba hupanda bei kila siku. Watu walionunua nyumba za matope kinondoni mAka mingi leo bei ya nyumba hizo zipo juu na sio kuwa ni matajiri. Bill Gates hajajirundikia magali bila ya sababu. Hata hivyo Bill Gates hawezi kujenga swimming pool katikati ya masikini.
Acua kujijaza ujinga wewe ,kwa taarifa yako bill gates ana one of the most technological advanced houses in the world,anaishi maisha ya kifahari sana tu,tafauti yake ni kuwa huwa hajitangazi wala kuonyesha bata zake,we unadhani watu wanatafuta hela ili wapigie picha ama?.

Huko ulaya unakokusifia ndio kunaongoza kwa watu kuishi maisha ya anasa,hao waarabu unaowazungumzia wameanza kutajirika juzijuzi tu baada ya kugunduliwa mafuta,ndo maana wanakuwa na show off nyingi

Na ukae ukijua umasikini hautakaa uishe duniani,hata utajiri wote uliopo ungegawanywa sawa kwa kila mtu baada ya muda mfupi utarudi kwa wale wale waliokuwa matajiri mwanzo.ndo dunia ilivyo

Na kama kuna mtu anatoa misaada Tanzania hii basi Bakhresa na familia yake wanaweza kuwa wanaongoza,ila wengi hamjui tu.sababu wameamua iwe hivyo.
 
Hzo phantom mbn hatuzionag mtaani
Inategemeana na mitaa unayoishi mkuu,au unayopenda kuzungukia.Bongo hapa kuna watu wanamagari ya kila aina ambayo ukihadithiwa huwezi kukubali kuwa yapo.kuna gari la luxury nliona limetoka model mpya huko ulaya ndani ya miezi miwili nikalikuta bongo.
 
akili yako imejaa upumbavu uliopindukia..Zero brain..nonsense..

Nonsense, do you know even the meaning of nonsense you idiot. Where do yo drive a Royce Royce in Dar es Salaam, where there are only two tarnacked roads. Someone with no brain will build a swimming pool where majority are looking for water to drink.
 
Acua kujijaza ujinga wewe ,kwa taarifa yako bill gates ana one of the most technological advanced houses in the world,anaishi maisha ya kifahari sana tu,tafauti yake ni kuwa huwa hajitangazi wala kuonyesha bata zake,we unadhani watu wanatafuta hela ili wapigie picha ama?.

Huko ulaya unakokusifia ndio kunaongoza kwa watu kuishi maisha ya anasa,hao waarabu unaowazungumzia wameanza kutajirika juzijuzi tu baada ya kugunduliwa mafuta,ndo maana wanakuwa na show off nyingi

Na ukae ukijua umasikini hautakaa uishe duniani,hata utajiri wote uliopo ungegawanywa sawa kwa kila mtu baada ya muda mfupi utarudi kwa wale wale waliokuwa matajiri mwanzo.ndo dunia ilivyo

Na kama kuna mtu anatoa misaada Tanzania hii basi Bakhresa na familia yake wanaweza kuwa wanaongoza,ila wengi hamjui tu.sababu wameamua iwe hivyo.

Hata Lugumi anatowa msaada, hata Acacia pia wanatowa mchango, ukichunguza ni pesa za `Watanzania zinaibiwa Kijanja wakisaidiwa na Viongozi wetu.
 
Huyo ndio yule malaika anayetakiwa kuishi kama shetani kwa mujibu wa mkulu???
 
Poor you, you are so angry the language is giving you problem.. Ngumbalu inakuita. By the way are you related to Bakiressa? Why are you on defence? Or because he is rich. Be proud money is not everything, humanity is.
hahaha..usi-panic kwanza sio Bakiressa=bakhresa.. nimesha-kujuza wewe ni mshezi/upuuzi na una mtindio wa ubongo.. .. Jaribu kupevuka ki-fikra na kiakili zaidi ya hapo utazidi kuonekana mwendawazimu na mpuuzi na kuambulia maneno machafu..Je kwa point zako dhaifu na nyepesi hudhani kwamba na wewe umejiwekea ukuta mzito katika jamii yako kwa lugha unayotumia..( kwa sisi wa standard 7).. Ndio maana nakuambia hujui na hujui kwamba hujui.Ovaaaaaaaaaaa..
 
Back
Top Bottom