Usilolijua ni Kama usiku wa giza boss. Sina sababu ya kutoa maelezo mengi mkuu.Imeonyeshwa kwa ndani tu Mkuu wewe umejuaje kma sio ya masaki?
Au wewe ndye motto wa bhakresa
Sawa mtto wa bossUsilolijua ni Kama usiku wa giza boss. Sina sababu ya kutoa maelezo mengi mkuu.
Je huyo Mtoto ana Mali zake mwenyewe ambazo hazitokani na utajiri Wa baba take?Acha kupotosha umma wewe. Hiyo nyumba sio ya Mzee S.S Bakhresa. Kama hujui mambo uliza.
Hiyo nyumba ni ya mtoto wake iko Mikocheni. Mzee S.S.B anaishi Masaki.
Pambana na hali yako mkuu, usije kujipiga kitanzi bure.
Jamaa ni mchapa kazi sana na ameenda shule vizuri.Je huyo Mtoto ana Mali zake mwenyewe ambazo hazitokani na utajiri Wa baba take?
Jazia nyama mkuu tuelewe shule hiyo unayoisemea ni ya kiwango gani na kuchapa kazi huko unakozungumzia ni kupi?Jamaa ni mchapa kazi sana na ameenda shule vizuri.
Mkuu wengine wanasema analipa vizuri labda kama kuna tofauti kubwa za mishahara baina ya wafanyakazi. Mfano sijui sasa lakini mwaka 2009 kuna mtu ninafamiana naye alikuwa mlinzi tuu alikuwa analipwa zaidi ya laki tatu, alinifanya hadi nipende kufanya kazi kwenye kile kiwanda chake cha juice barabara ya kwenda Mtwara ila nilipata kazi sehemu nyingine.Kama tajir kiasi hicho mbona kampuni same malipo kidoncho sana wafanyakaz wanalalamika sana
Bado siyo vibaya hata kama pesa zake zote zilitoka kwa baba yake ndo mana wenzetu familia unakuta ni tajiri sanaJe huyo Mtoto ana Mali zake mwenyewe ambazo hazitokani na utajiri Wa baba take?
Mtukufu sana kasema kama Mshahara hautoshi, tuache kazi.Kama tajir kiasi hicho mbona kampuni same malipo kidoncho sana wafanyakaz wanalalamika sana
Kwa kifupi hapo ni Kwa Yusuf, Boss wa Azam FC.Acha kupotosha umma wewe. Hiyo nyumba sio ya Mzee S.S Bakhresa. Kama hujui mambo uliza.
Hiyo nyumba ni ya mtoto wake iko Mikocheni. Mzee S.S.B anaishi Masaki.
Pambana na hali yako mkuu, usije kujipiga kitanzi bure.
Sasa hilo kawaulize wao wenyewe tuchozungumza hio nyumba ni yanani, ni ya mwanae,...sasa mambo yautajiri kutokana na nn ilo sio mjadala hapaJe huyo Mtoto ana Mali zake mwenyewe ambazo hazitokani na utajiri Wa baba take?