Full video: Nyumbani kwa mtoto wa Bakhresa ni maajabu matupu, huwezi Amini

Full video: Nyumbani kwa mtoto wa Bakhresa ni maajabu matupu, huwezi Amini

waswahili tunashida sana tunawakaribisha majumbani kwetu mnaanza kutoa sm zenu nakuanza kupiga Picha , shubamit mmenikera Sana

lakini sitting room gani hakuna sub woofer ilipaswa tuone sub woofer hapo ili sisi wakwamtogole tufarijike kuwa hata mtoto wa bharesa anasubwoofer piano

haaaaa haaaa haaa
 
Aisee. Maisha haya ukiyawazia sana unaweza changanyikiwa maana kuna watu wana maisha ambayo ukiyafikiria mara mbili mbili unaweza kulia wee kwa uchungu na bado usiwe na uwezo wa kuwafikia

Ila ndio hivyo wacha tupambane na hali zetu kwa hivi vidogo tulivyojaaliwa mana hakuna jinsi.
 
Acha kupotosha umma wewe. Hiyo nyumba sio ya Mzee S.S Bakhresa. Kama hujui mambo uliza.
Hiyo nyumba ni ya mtoto wake iko Mikocheni. Mzee S.S.B anaishi Masaki.
Pambana na hali yako mkuu, usije kujipiga kitanzi bure.
Je huyo Mtoto ana Mali zake mwenyewe ambazo hazitokani na utajiri Wa baba take?
 
Kama tajir kiasi hicho mbona kampuni same malipo kidoncho sana wafanyakaz wanalalamika sana
Mkuu wengine wanasema analipa vizuri labda kama kuna tofauti kubwa za mishahara baina ya wafanyakazi. Mfano sijui sasa lakini mwaka 2009 kuna mtu ninafamiana naye alikuwa mlinzi tuu alikuwa analipwa zaidi ya laki tatu, alinifanya hadi nipende kufanya kazi kwenye kile kiwanda chake cha juice barabara ya kwenda Mtwara ila nilipata kazi sehemu nyingine.
 
Gari lisiwe la gharama lakini liwe namba D kama hiyo Range
 
Back
Top Bottom