Maisha hayana mshindi pambana kutafuta peace of mind. Maisha halisi ni yale ambayo unayaishi yanayokupa furaha na amani, kwa kujikubali ulivyo na kufanya yale yaliyo ndani ya uwezo. Pambana jichunguze ujielewe wewe ni nani hapa duniani then do your thing pambana na maisha haya na mahitaji yake lakini usiyaruhusu yakuzuie kupractise ule utu wako wa asili uliozaliwa nao, ile talanta, kile kipaji, ule uwezo wako, ile sifa yako unique, kwa ufupi maisha huwa tunatafuta peace of mind, na hiyo peace of mind haiwezi kuja kwa kuwa na mambo mengi ya duniani, katika maisha ukishakuwa na nyumba yako nzuri ya kuishi, ukaishi kwa amani na upendo na familia yako, hausumbuki na kuwaza pesa ya kula, una uwezo wa kusomesha watoto wako pasipo mashaka, uko na usafiri wako (kwa maisha ya kibongo bongo), ukawa na afya njema na mengineyo yafananayo na hayo hakika utakuwa na furaha ya maisha yako.Aisee. Maisha haya ukiyawazia sana unaweza changanyikiwa maana kuna watu wana maisha ambayo ukiyafikiria mara mbili mbili unaweza kulia wee kwa uchungu na bado usiwe na uwezo wa kuwafikia
Ila ndio hivyo wacha tupambane na hali zetu kwa hivi vidogo tulivyojaaliwa mana hakuna jinsi.
Ucha kukurupuka soma uelewe amesema ni ya mtoto wa bakhresa yusufu sasa sijajua amekosea wapi..muwe mnasoma...Acha kupotosha umma wewe. Hiyo nyumba sio ya Mzee S.S Bakhresa. Kama hujui mambo uliza.
Hiyo nyumba ni ya mtoto wake iko Mikocheni. Mzee S.S.B anaishi Masaki.
Pambana na hali yako mkuu, usije kujipiga kitanzi bure.
Hahahaaa tukatambikieNa wewe na mimi ili tumpate Bakhresa Tufanyeje?!
Huyo anaye lalamika mwambie aache kazi akatafute penye mshahara mnono!!Kama tajir kiasi hicho mbona kampuni same malipo kidoncho sana wafanyakaz wanalalamika sana
Ndio shida hiyo. Hakuna hata moja linaonekana barabarani!
!
Daaah! Cha kuhuzunisha ni kwamba ukute hata havitumii vimekaa tu
Hayo maneno ame edit baada ya kuwekwa sawa humu. Angalia title kwenye hiyo clip pengine ndio akili yako itafunguka.Ucha kukurupuka soma uelewe amesema ni ya mtoto wa bakhresa yusufu sasa sijajua amekosea wapi..muwe mnasoma...
Kuna jamaa alikuwa anaulizia ana Milion 20 anataka kujenga nyumba, anaomba ushauri ngoja niendelee kumskiliza nitaleta UpdateBaba atakuwa masikini
Wahenga walisema wa Mwisho huwa wa Kwanza na wakwanza huwa wa mwisho.... Ngoja mzee azam awe maskini uchukue nafasi yake...... Uwe tajiriHahahaaa tukatambikie
Mbona yanaonekana mkuu. Inatokana na wewe unaishi au kupenda kutembelea sehemu gani! Lakini hizo gari huwa zinaonekana mitaani. Sema kwa kuwa hao watoto wa Bakhresa wako private sana na ni watu wa "polite" bata.Ndio shida hiyo. Hakuna hata moja linaonekana barabarani
Kwani anapambana na yakwako???, mboni povu!!.Acha kupotosha umma wewe. Hiyo nyumba sio ya Mzee S.S Bakhresa. Kama hujui mambo uliza.
Hiyo nyumba ni ya mtoto wake iko Mikocheni. Mzee S.S.B anaishi Masaki.
Pambana na hali yako mkuu, usije kujipiga kitanzi bure.
Angalia isikuchane!Kwani anapambana na yakwako???, mboni povu!!.
Mbona nae amesema ya mtotoAcha kupotosha umma wewe. Hiyo nyumba sio ya Mzee S.S Bakhresa. Kama hujui mambo uliza.
Hiyo nyumba ni ya mtoto wake iko Mikocheni. Mzee S.S.B anaishi Masaki.
Pambana na hali yako mkuu, usije kujipiga kitanzi bure.
Pambana na hali yko hakunaga zali,usitegemee kufunga goli wakati upo nyuma ya kipaMaisha haya kutoka kuwa fundi viatu,mpiga kiwi barabarani mpaka kumiliki migari hiyo hatari
Dah ukisikia zari la mentali ndio hiyo
Nyie mlioingia sasa hivi baada ya kuedit ndio mnasoma hivyo. Mwanzoni ilikuwa inasomeka ni nyumba ya Said Salim Bakhresa. Angalia title ya hiyo clip inaweza kukusaidia kuelewa.Mbona nae amesema ya mtoto
Huu ni mfano mdogo tu wa Ma Billioner wa mbele.... Hela tamu sana.....Maa Sha Allah, huyu jamaa kiboko, sasa hao matajiri walioko top ten duniani wakoje!!!? Kama huyu tu wetu hali ya hom iko hivi.....
Anzisha Kampuni yako, ili ulipe mishahara Robo 3 ya kipato chako, na Mungu atakubariki.Kama tajir kiasi hicho mbona kampuni same malipo kidoncho sana wafanyakaz wanalalamika sana
Acha ujuaji mwingi..... jifunze kusoma vizur kabla ya kuropoka.Acha kupotosha umma wewe. Hiyo nyumba sio ya Mzee S.S Bakhresa. Kama hujui mambo uliza.
Hiyo nyumba ni ya mtoto wake iko Mikocheni. Mzee S.S.B anaishi Masaki.
Pambana na hali yako mkuu, usije kujipiga kitanzi bure.