Full video: Nyumbani kwa mtoto wa Bakhresa ni maajabu matupu, huwezi Amini

Full video: Nyumbani kwa mtoto wa Bakhresa ni maajabu matupu, huwezi Amini

Maisha hayana mshindi pambana kutafuta peace of mind. Maisha halisi ni yale ambayo unayaishi yanayokupa furaha na amani, kwa kujikubali ulivyo na kufanya yale yaliyo ndani ya uwezo. Pambana jichunguze ujielewe wewe ni nani hapa duniani then do your thing pambana na maisha haya na mahitaji yake lakini usiyaruhusu yakuzuie kupractise ule utu wako wa asili uliozaliwa nao, ile talanta, kile kipaji, ule uwezo wako, ile sifa yako unique, kwa ufupi maisha huwa tunatafuta peace of mind, na hiyo peace of mind haiwezi kuja kwa kuwa na mambo mengi ya duniani, katika maisha ukishakuwa na nyumba yako nzuri ya kuishi, ukaishi kwa amani na upendo na familia yako, hausumbuki na kuwaza pesa ya kula, una uwezo wa kusomesha watoto wako pasipo mashaka, uko na usafiri wako (kwa maisha ya kibongo bongo), ukawa na afya njema na mengineyo yafananayo na hayo hakika utakuwa na furaha ya maisha yako.

emmyta habari za muamko dadake?
We ni mwanaume?
 
Hongera na mungu amzidishie. Namshukuru huyu mtu kwa kujali watu hasa katika sekta ya usafiri. Nakumbuka siku ya kwanza kwenda Zanzibar nilipanda Meli mbovu iitwayo AZIZA lkn ameleta mapinduzi makubwa kwa boti za kisasa na bei nafuu.
 
Acha kupotosha umma wewe. Hiyo nyumba sio ya Mzee S.S Bakhresa. Kama hujui mambo uliza.
Hiyo nyumba ni ya mtoto wake iko Mikocheni. Mzee S.S.B anaishi Masaki.
Pambana na hali yako mkuu, usije kujipiga kitanzi bure.
Mmmmh mbn wamoto mzee baba? Kaandika nyumba ya mtoto wa bakhresa cyo bakhresa mwenywe mbn mnapenda kukurupuka soma vitu kwa umakini
 
Mmmmh mbn wamoto mzee baba? Kaandika nyumba ya mtoto wa bakhresa cyo bakhresa mwenywe mbn mnapenda kukurupuka soma vitu kwa umakini
Na yeye alimjibu mtu maana kuna watu wanadhani hapo ni kwa Bakhresa.
 
Magari mengine utaendeshea wapi. Na barabara za bongo Chafu kiasi hiki.. Bora yakae ndani tu kama kumbukumbu tu
 
Na yeye alimjibu mtu maana kuna watu wanadhani hapo ni kwa Bakhresa.
Nashukuru kwa kumuelimisha huyo msukule mkuu.
Hakika angesoma majibu niliyotoa kwa misukule wenzake angeelewa. Huyu mleta mada aliedit baada ya kuwekwa sawa humu. Mwanzo aliandika ni nyumba ya Said Salim Bakhresa. Ukiangalia title ya hiyo video clip utaelewa mkuu.
Pia kuna wadau katika post namba 10 na namba 17 pia walijaribu kumuweka sawa. Ndio baadae akarudi na ku edit kama inavyosomeka sasa. Sasa kuna misukule inakurupuka kama kawaida yao.
 
Mkuu wengine wanasema analipa vizuri labda kama kuna tofauti kubwa za mishahara baina ya wafanyakazi. Mfano sijui sasa lakini mwaka 2009 kuna mtu ninafamiana naye alikuwa mlinzi tuu alikuwa analipwa zaidi ya laki tatu, alinifanya hadi nipende kufanya kazi kwenye kile kiwanda chake cha juice barabara ya kwenda Mtwara ila nilipata kazi sehemu nyingine.
Ukilinganisha na kampuni zingine jamaa anajitahidi sana
 
Bakharesa hakuwahi kua fundi viatu.... kasome historia yake wikipedia.
Mkuu usibishe usivovijua na usiamini sana wikipedia maana mtu yoyote anaweza kuedit.

Kwakifupi ni hivi mimi babu yangu alinihadithia alipokua anauza duka la muhindi k.koo sikumbuki miaka ya 60 au 70 bakhresa alikua fundi viatu fremu/duka linalofuatia.

form1
 
Haya ndio mambo aliyekuwa mkuu wa nchi 1961/85 na JPM Awapendi. Maisha ya kuishi kama shetani. 2015 walitumia gari hili la kijani walisema ni ya mtoto wa JK. Ikavuma sana
 
Si mkuu alisema anata waishi kama mashetani sasa inakuwaje,awanye waishi kama mazombi
 
Acha kupotosha umma wewe. Hiyo nyumba sio ya Mzee S.S Bakhresa. Kama hujui mambo uliza.
Hiyo nyumba ni ya mtoto wake iko Mikocheni. Mzee S.S.B anaishi Masaki.
Pambana na hali yako mkuu, usije kujipiga kitanzi bure.
Kwani yeye amesemaje jamani? Hebu nieleweshe kidogo
 
Haya magari anaendeshea wapi? Maana barabara zilivyojaa mashimo!!
 
Hii video chini inaonesha maisha halisi ya Yusuph Salim Bakhresa , Na Mali anazomiliki ndani.

Magari ya kifahari zaidi ya 20 ndani, Na mengine jionee


Akili hauna wewe, yani unajaza Uzi kwa kumsifia mwanaume kwa Mali zake. Wewe na hisi utakua P
 
Back
Top Bottom