Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu walaumu wazazi wako acha wivu
Zanzibar hakuna Tembo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu walaumu wazazi wako acha wivu
Zanzibar hakuna Tembo
Hata me nimeshangaa why hajaandika majinaHalafu no mbwembwe za kuandika majina! Congrats
Unamaanisha nini kwamba nyumba hupanda bei kila siku?! Sasa kama nyumba hupanda bei kila siku, ina maana tunapotakiwa kuithaminisha nyumba ya Bill Gates tunaoaswa kutumia gharama zilizotumika kujengea na sio current value?Kumbuka nyumba hupanda bei kila siku. Watu walionunua nyumba za matope kinondoni mAka mingi leo bei ya nyumba hizo zipo juu na sio kuwa ni matajiri. Bill Gates hajajirundikia magali bila ya sababu. Hata hivyo Bill Gates hawezi kujenga swimming pool katikati ya masikini.
Hii video chini inaonesha maisha halisi ya Yusuph Salim Bakhresa , Na Mali anazomiliki ndani.
Magari ya kifahari zaidi ya 20 ndani, Na mengine jionee
Pamoja na hayo aliwahi kusomeshwa namba na Mkapa
Serikali ya Mkapa ilivyomfanyia hujuma Bakhresa kisa kuipa msaada CUF, akashitaki na kulipwa fidia ya mabilion
Bill anaishi maisha ya kawaida wakati nyumba yake anayoishi tu ina thamani ya $125 Million ambazo ni zaidi ya Sh 250 Billion za Tanzania.
Kwamba anasafiri kwa kutumia economy class!!! You can't be serious!! Why should he?! Kwanini asafiri kwa kutumia economy class au hata first class wakati ana ndege yake binafsi?!
Siku zote baba huwa hana vituko kwenye Mali zake watoto ndio wanakuwa Na maonesho ya Mali ya baba zaoAcha kupotosha umma wewe. Hiyo nyumba sio ya Mzee S.S Bakhresa. Kama hujui mambo uliza.
Hiyo nyumba ni ya mtoto wake iko Mikocheni. Mzee S.S.B anaishi Masaki.
Pambana na hali yako mkuu, usije kujipiga kitanzi bure.
kwani ulaya hakuna matajiri? huna lolote wivu tu unakusumbua weweTHIS IS NOT LUCKY BUT IT IS MISFORTUNE, YOU CAN NOT BUILD A SWIMMING POOL AROUND THIRSTY POOR PEOPLE. THAT IS BEING STUPID. NO WONDER MOST MUSLIMS REFUGEE CHOSE TO GO TO EUROPE WHERE PEOPLE SHARE THAN TO ARABS COUNTRIES WHERE THE RICH SHOW OFF THEIR WEALTH TO THE POOR.
pumba tu hizi. mwambie basi bill gates auze shares zake na mali zote awape masikini msaada kama atakubali. una uhakika Bakhresa hasaidii hapa Tanzania?I am serious and that is the truth. Amekuja Tanzania akaenda kigoma na muke wake kwenye hotel ya kawaida. Hana haja ya kujionyesha, anamuonyesha nani, wakati 90% ya Watanzania wanaishi chini ya dola moja, magali yote ya nini kwenye nchi hata barabara hatuna, kwenye nchi sehemu nyingine watoto wetu wanasomea chini ya miti. Sijui wewe ni dini gani, lakini kwenye dini ya kikiristo, tajiri alimuuliza Yesu, Nitafanyaje ili niingie mbinguni? Natowa sadaka, naenda kanisani, nafuata sheria zote. Yesu akamwambia NENDA kauze Mali zako zote uwagawie masikini. Ikifika hapo sisi wote tunashindwa, ikiwa pamoja na mimi. Mali nyingi kama hizo hazina maana wala hufaidi ukiwa umezungukwa na masikini. Sisemi anapoishi kuna masikini, pengine hata hawaoni, amejijengea ukuta mrefu, lakini huwezi kutembea Dar es Salaam ufike mbali bila kuona shida za watu wengi ambao hawana namna ya maisha. Hawa watu wamecontribute kwenye utajiri mkubwa wa HUYU bwana. Na ukichunguza Utajiri wa kila mtu haswa Afrika kuna udanganyifu ndani yake. Hata kama wewe ni tajiri, HAUNA haja ya magali 100 ya gharama wakati umezungukwa na masikini. Your conscious must not allow that.
Kwel kaka Tanzania kuna watu wana wivu sn tena na roho mbaya zilizo pitiliza wewe ukipata kidogo tu maisha yako ukawa unayamuda vizur utaona watu wanavyo kuzushia kila aina ya maneno utayasikia ...kwani ulaya hakuna matajiri? huna lolote wivu tu unakusumbua wewe
Kwamba eti Yesu kasema hivi mara kasema vile ni hoja isiyo na maana yoyote ile manake wala sijawahi kukutana na hao Wakristo wanaotoa mali zao eti kisa Bible imesema! Though am muslim but 95% of my friends ni Christians ambao hata hilo fungu la 10 lenyewe hakuna anayetoa the way inavyotakiwa!!!!I am serious and that is the truth. Amekuja Tanzania akaenda kigoma na muke wake kwenye hotel ya kawaida. Hana haja ya kujionyesha, anamuonyesha nani, wakati 90% ya Watanzania wanaishi chini ya dola moja, magali yote ya nini kwenye nchi hata barabara hatuna, kwenye nchi sehemu nyingine watoto wetu wanasomea chini ya miti. Sijui wewe ni dini gani, lakini kwenye dini ya kikiristo, tajiri alimuuliza Yesu, Nitafanyaje ili niingie mbinguni? Natowa sadaka, naenda kanisani, nafuata sheria zote. Yesu akamwambia NENDA kauze Mali zako zote uwagawie masikini. Ikifika hapo sisi wote tunashindwa, ikiwa pamoja na mimi. Mali nyingi kama hizo hazina maana wala hufaidi ukiwa umezungukwa na masikini. Sisemi anapoishi kuna masikini, pengine hata hawaoni, amejijengea ukuta mrefu, lakini huwezi kutembea Dar es Salaam ufike mbali bila kuona shida za watu wengi ambao hawana namna ya maisha. Hawa watu wamecontribute kwenye utajiri mkubwa wa HUYU bwana. Na ukichunguza Utajiri wa kila mtu haswa Afrika kuna udanganyifu ndani yake. Hata kama wewe ni tajiri, HAUNA haja ya magali 100 ya gharama wakati umezungukwa na masikini. Your conscious must not allow that.
Hii video chini inaonesha maisha halisi ya Yusuph Salim Bakhresa , Na Mali anazomiliki ndani.
Magari ya kifahari zaidi ya 20 ndani, Na mengine jionee
Pamoja na hayo aliwahi kusomeshwa namba na Mkapa
Serikali ya Mkapa ilivyomfanyia hujuma Bakhresa kisa kuipa msaada CUF, akashitaki na kulipwa fidia ya mabilion
Kwamba eti Yesu kasema hivi mara kasema vile ni hoja isiyo na maana yoyote ile manake wala sijawahi kukutana na hao Wakristo wanaotoa mali zao eti kisa Bible imesema! Though am muslim but 95% of my friends ni Christians ambao hata hilo fungu la 10 lenyewe hakuna anayetoa the way inavyotakiwa!!!!
Turudi kwa Bill Gates! Huko Kigoma unakosema alifikia hotel ya kawaida, unaweza kutuambia hapa alifikia hotel gani? Hotel name plz?
Umedai Bill Gates anatumia economy class anaposafiri! Nimekuuliza how come atumie economy class wakati ana ndege binafsi? Bado hujajibu!
Mwaka 2014 iliripotiwa Bill Gates alikodisha boti(yatcht) kwa gharama ya USD 5million/week kwa ajili ya kula bata halafu unadai anaishi maisha ya kawaida!!! Google "Bill Gates + Serene Yacht"
Aidha, umedai anaishi maisha ya kawaida! Nimekuambia mansion ya Gates ina thamani ya USD125 M, zaidi ya 250 billion za Tanzania! Nimekujatajia na some of luxuries hapo kwake! Ni mansion ya kawaida hiyo?
And REMEMBER, hapo nimemzungumzia Bill Gates mwenyewe wakati wanaofanya hizo kufuru hapo juu sio Mzee Bakhresa mwenyewe bali ni watoto wake!
Good for Gates kwamba watoto wake wote bado wadogo! Mkubwa kabisa ndo kwanza 21 na ni wa kike!
View attachment 597612
Huyo jamaa ni mchepuko wake, Mwarabu kutoka Misri!!! Watoto a kishua sijui wamegundua nini toka kwa Waarabu wa Misri hapa nikimkumbuka Princess Diana!
Sasa kwa umri kama huo she's still very young na hata kama angekuwa mwanaume, bado asingekuwa na uhuru wa kufanya hayo wanayofanya watoto wa Bakhresa!
The only boy still yupo Under 20. Ungeona fujo zao kama ingekuwa ni watoto wa kiume ambao wangekuwa at least 25!!!
Kwamba Bakhresa sio kweli hata kidogo!!! Bakhresa huyu huyu anayesali na maskini wengine kwenye msikiti mmoja ndie unayesema amejijengea ukuta?!
pumba tu hizi. mwambie basi bill gates auze shares zake na mali zote awape masikini msaada kama atakubali. una uhakika Bakhresa hasaidii hapa Tanzania?