Fumanizi la mama mwenye nyumba

Hapo kwenye mpangaji kukaa sehemu mpaka akaanza kufuga nimecheka sana. Kuna jamaa yangu hapo mwanza kapanga mahali kafuga mbuzi kama 60 nilivyoenda kwake nilicheka sana anajiita mwenye nyumba msaidizi since wapangaji wote wamemkuta.
 
Nchi hii tusahau kabisa kufika kwenye industry Revolution.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…