Fumanizi la mama mwenye nyumba

Fumanizi la mama mwenye nyumba

Ngoja nipitie stori yako ya lishangazi lako lile wakati nikisubiria the next episode
 
4th Portion:


.... Palivyokucha hatukuonana mpaka mida ya mchana ( sikwenda job siku hiyo). Na hata tulivyoonana hakuniambia kitu, na hakuonesha dalili za kuniambia chochote. Hapo tokea nihamie pale, tumecheza mechi mara mbili tu. Nilivyotoka safarini, faza house alikuwa safarini na yeye, hakuwepo home. Baada ya kama wiki mbili nae akarudi japo sikua na mazoea nae. Kodi yangu ilikuwa inaelekea mwisho, akaniomba kama naweza kumpa kodi inayofata mapema ili atatulie shida zake, sikuona tabu,nikampa tena ya miezi 6.

Ukaribu na yule Binti wa tokens za luku ukaendelea, sasa siku moja nilimuona pale home mida ya jioni, tukasalimiana tu alaf kila mmoja na njia yake. Jioni hiyo hiyo nikamtext kuwa nimependa style aliyosuka, akajibu "thanks". Kikapita kimya kirefu, baadae sana akanitext "mambo?" Nikamjibu poa, zikaanza chatting za hapa na pale, tukajikuta tumezama kwenye chatting za mapenzi mapenzi, kuna muda akaniambia "Maneno yako hayaendani hata na wewe, sikujua kama ndio unaongea hivyo", nikajibu "Kawaida tu" Story zikaendelea endelea, nikajikuta nimemualika ghetto, akasema leo hawezi kuja, labda siku nyingine. Nikamuuliza lini? Akajibu ataniambia. Sikutaka kufosi, nikampotezea, nikalala.

Kesho yake nikaonana nae asubuhi, tukasalimiana alaf akaendelea kuwa busy na mambo yake, hakunichangamkia kabisa yani. Ila usiku ulivyoingia, akawa ananichatisha sana. Kulivyokucha ananiletea ukauzu. Nikaanza kupata hisia huyu atakuwa yupo period ndio maana haeleweki. Na alivyoenda hostel, hata msg zangu akawa hajibu kabisa. Nikaamua kumpotezea.

Nikasafiri tena kama wiki 3, ila mchezo ukawa ndio huo huo. Usiku tunachati vizuri, mchana ananipotezea. Nikijaribu kuuliza sababu, haniambii, ikabidi nijiongeze tu labda anakuwaga na mpenzi wake, hata hivyo hainihusu. Nilivyorudi tena Dar, siku hiyo hakuwepo. Nilikaa kama wiki bila kumuona, na sikumtafuta. Wik end moja akawa amekuja pale kwao. Kama kawaida akanilia buyu. Ila ilivyofika mishale ya saa nne akanitext. Tukachat chat, akaniuliza aje? Nikamwambia njoo tu (maana faza house alikuwepo, so nikahisi Maza house hawezi kuja). Binti ananiambia anaona aibu, nikamwambia nitazima taa aje. Akasema poa. Nimekaa kama dakika 15 mlango ukagongwa. Nikazima taa alaf nikamwambia karibu. Akaingia alaf akasimama mlangoni. Nikamwambia pita ukae, akaenda kukaa kwenye kiti. Japo taa ilikuwa imezimwa, ila hapakuwa na Giza nene, so tuliweza kuonana. Naangalia vizuri, kumbe ni yule dogo wa sekondari. Yani siku zote nilijua nachatig na yule wa chuo, kumbe nachat na dent. Dada mtu akiwa home, mida ya usiku dogo anachukua simu ananichatisha. Hapo ndio nikaelewa kwanini mchana nilikuwa sijibiwi, au kwanini yule Binti wa tokens muda mwingine hanichangamkii.

Wakati bado nimepigwa na butwaa, yule dent akaniuliza "Najua ulihisi unachat na dada, vipi hujapenda Mimi kuwa hapa?" Binafsi kichwani kulikuwa na fikra zinakinzana, upande mmoja unaniambia, mwanafunzi huyo achana nae, ila upande mwingine unaniambia ruka nae tu, si kajileta mwenyewe. Dogo akaniambia" Basi me naondoka", nafsi inaniambie kama hutaki kumkaza, mnyonye hata mate basi, mate tu, usiruhusu aondoke hivi hivi atakusambazia habari mbaya. Baada ya kujishauri sana, nikaamua aondoke tu, ila moyo ukasita, nikajikuta namuuliza "Hakuna aliyekuona wakati unakuja?" Dogo akajibu " Hapana". Nafsi ikaanza kuniambia "Siunaona?, Kwao hawajamuona, piga hata kimoja, bahati hiyo"

Nikamuuliza tena "Una uhakika? " Akajibu "Unaniona Mimi mtoto au? Nimekwambia hawajaniona" , nafsi yangu ikaingilia "Yuko makini huyo, alaf ashakwambia yeye sio mtoto". Nikaona sio mbaya, Wacha nipige kimoja cha fasta, kwanza Mzee wake leo yupo, kwahiyo Maza house hawezi kupata ujasiri wa kuja gheto kwangu. Nikamwambia yule dogo ( tumuite K), K sogea huku basi. K akawa anasita sita. Nikaenda na kumshika mkono, akagoma, nikamvuta hadi kitandani, tukawa tumekaa pale, ila yeye akasogea kwa mbali.

Huyu K hakuwa kisu sana, ila alikuwa anavutia kwa muonekano wake, kiufupi analika, maziwa ya duara, alaf yalikuwa bado hayajalala, hakuwa na hips kubwa, ni dizaini ya wale wanawake ambao tako limeumuka kwa kwenda nyuma, alaf akisimama katikati ya mapaja kunakuwa na uwazi(nishawahi kumchora mara kadhaa akiwa kavaa suruali).Kwa kumwangalia, hata kama bikra yake imetoka, basi itakuwa imetoka nusu. Nikaanza kupata hisia huyu atanisumbua, maana vitoto vinapendaga kuvutana vutana, mpaka jasho litoke ndio ufanikiwe kumvua chupi, wakati gheto kaja mwenyewe. Chumba changu Mimi kilikuwa kimepakana na cha jamaa mwingine, ambae alihamiaga hapo tokea akiwa bachelor hadi akaoa na kupata mtoto ila ahami, ni dizaini ya wale wapangaji, wanakaa sehemu muda mrefu wanapata hadi ujasiri wa kufuga mbwa au kuku [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].

Sasa huyu jamaa akilewa ni mtu wa kuropoka sana. Kuna siku ashawahi kunichana kijiweni kuwa gheto langu liko busy sana (kiufupi demu wangu alikuwa akija kama jamaa yupo lazima ajue maana tumetenganishwa na ukuta tu). So, uwepo wa yule dent (K), nikawa na wasi wasi what if jamaa nextdoor yupo? Nikazima mziki alaf nikaenda kugonga gonga ule ukuta unaotutenganisha, nikiwa na Imani kama jamaa yupo atareact, nilivyoona kimya, nikaona pako safe. Nikalock mlango alaf nikamsogelea K. Hakuresist sana, ila kabla hatujafanya chochote dogo akaanza kutupa miguu na mikono, macho kageuza upande. Nikajua michezo yake tu, ananiigizia. Ila naona yuko busy tu anatetema. Nikijaribu kumuita haitiki, ndo kwanza mwili unakakamaa. Alafu kumbe Maza house yupo dirishani, sikujua alifika pale muda gani. Akagonga mlango "Fungua mlango we fala, mshenzi sana". Kwa situation aliyokuwa nayo K, nikajikuta nafungua tu mlango, maana sikuelewa amekutwa na nini ( japo baadae nilikuja kujua kuwa anamatatizo ya kuanguka anguka).

Maza house kuingia ndani, "Yani wewe wa kunichanganya na mwanangu?". Nikajiribu kujitetea kuwa sijafanya chochote na uzuri K alikuwa Bado na nguo zake. Maza house haelewi na wala hataki kuniskiliza. Nikajaribu kumsii amsaidie kwanza K then mengine yatafatia. Hataki, ananiambia "Wakati mnaitana chumbani mlinishirikisha?. Wewe si kidume, haya pambana hapo na ole wako afe". Duh, kufa tena?? Nikamwambia, basi hebu niambie natakiwa kufanya nini hapa? "Yani unaniharibia mwanangu alafu unaniomba ushauri? Kumbe wewe huna aibu eeh?" Nikaona nimeyakanyaga leo. Feni ilikuwa inapepea ila natoka jasho. Maza house akaniambia "Maskini hapo nyege zote zishakata, haya subiria nikakuitie Baba ake mje msaidiane". Akatoka. Picha ya jela miaka 30 ikaanza kunijia. Nikajiapia, nikitoka salama hapa, sitaki tena kabisa hizi mambo, sitaki, sitaki...
Hapa leo sasa ndo nasema ongeza vitafunwa ndugu muandishi[emoji23]
 
5th Portion:


..... Kati ya watu ambao inner voice huwa zinawasumbua au kuwasema endapo pakitokea msala, basi ni Mimi. Baada ya Maza house kuondoka, sauti ndani yangu ikaanza kunisuta "Haya sasa, madhara ya tamaa ndio hayo" . "Jifunze kuridhika" " Jela inakuita" n.k

Pale kitandani K alitulia, ila nikawa naogopa kumsogelea. Mawazo yananiambia nikimbie, ila sasa nitakimbilia wapi. Kila kitu changu kipo mle ndani. Nikapitisha mawazo ya kuondoka pale gheto kwa muda soo lipoe, then nitawatafuta wazazi wa Binti tuyajenge. Kabla hata sijanyanyua mguu, mlango ukafunguliwa. Nikaduwaa tu kusubiria faza house aingie nijue hatma yangu. Akawa ameingia Maza house peke yake, inaonekana faza house alienda kupiga ulabu, so alimkosa. " Ushamuua mwanangu?" Hiyo ndio ilikuwa kauli ya kwanza ya Maza house. K nae fahamu zikawa zimemrudia anashangaa shangaa pale kitandani. Maza house alimsogelea akamtandika bonge la kofi, yani hakujali kama muda mfupi uliopita alikuwa kwenye hali gani.

K akatoka nje huku analia japo sio kwa sauti, nikabaki na Maza house. Aliniangalia kama vile anakinyaa, akasikitika sana "Naomba kesho uhame, sitaki kukuona tena kwenye nyumba yangu". Nikamwambia lakini siku sio nyingi nimetoka kuwalipa Kodi ya miezi 6. Maza house aliniangaliaa, alaf akasema "Kumbe wewe akili huna, hiyo Kodi ilibidi uifikirie kabla ya kufanya ushenzi wako". Nikajaribu kutaka kujitetea, akanikatisha "Nimekwambia kesho uhame, sitaki kuyaona tena mapua yako kwenye hii nyumba". Huwa sielewagi, mtu yeyote akiwa na hasira na Mimi au tukikwazana, kitu cha kwanza anakimbilia kuisema pua yangu, inamaana siku zote hakuiona? Nikasema liwalo na liwe, hapa ngoja na Mimi nikaze, nikamwambia "Mimi sihami mpaka Kodi yangu iishe, ukimwambia faza house kuhusu tukio la leo, na Mimi naweka hadharani kuhusu sisi", akacheka "Kumbe we tahira eeh?" " Unadhani unamjua mume wangu kuliko Mimi?. Haya sawa, nimekuruhusu, kesho tutakuwa na kikao, njoo kila mmoja aweke kalata zake mezani". Hakunipa nafasi ya kuongea tena, akaondoka.

Nikabaki nimekaa juu ya meza, najiuliza maswali kibao "Anajiamini nini huyu mama?". Nikaona hapa nikijifanya mjuaji litanikuta jambo. Nikamtumia msg "Kesho mapema nitasafiri, nipatie kama wiki moja niweke mambo yangu sawa, alaf nitahama bila vikao wala ugomvi". After kuituma, nikapanda kitandani nasubiria jibu lake, ili nijue hatma yangu. Dakika 30 zikapita, Kimya! Nikaamua kulala. Asubuhi na mapema nikaamsha.

Zikapita siku 3 sijatafutwa, wiki sijatafutwa. Baada ya wiki mbili nikarudi. Naingia tu getini, mtu wa kwanza kuonana nae ni faza house, akanichangamkia vizuri tu, nikapata picha huyu hajaambiwa chochote, amani ya moyo ikarudi.

Nikaingia gheto kwangu, usalama kama wote. Nikajilaza. Nikaanza kuishi kama digidigi au panya, naondoka alfajir, narudi night kali hii yote ni kumkwepa Maza house. Siku moja nipo mishe mishe, akanitumia msg "We mpuuzi, unahama lini?" Nikamjibu "Nimeshapata chumba sehemu nyingine, ila ningependa tuongee kabla sijahama". Akajibu "Sina cha kuongea na wewe tena, beba vitu vyako, uende". Nikajitahidi kumsihi anipatie dakika 5 tu zitanitosha. Akakubali, akasema baadae atakuja.

Nafsi inaniambia "Ole wako akija uharibu, hiyo ni last chance" Sauti nyingine inaniambia "Achana na hayo mambo wewe, icho ni kifo" Sauti ya kwanza inarudi tena "Wote tutakufa". Nikaona zote zinanichanganya tu, nikaachana nazo nikaamua kujiskiliza mwenyewe.

Mida ya usiku nilivyofika gheto, nikawasha kisabufa changu, alafu nikaweka track ya Simi on repeat, ili Maza house akija inisaidie kubembeleza na kurudisha hisia. Mishale ya saa nne, akatokea, yuko very cool, no kuchangamka. Nikajaribu kubembeleza na kuomba msamaha, Maza house kakaza, sisikilizwi Mimi wala Simi.

Unajua uzuri wa haya mashangazi yanajua sana kupenda na yanaweza kufanya uhisi ule upendo uliopo. Ila tatizo lao kubwa ni kwamba mapenzi hayawapelekeshi hata kidogo, Yani Wana uwezo wa kutenganisha hisia na mambo mengine. Hawa rika letu hata mzinguane vipi, ukijirudi na kumpeti peti, analegeza, ila mashangazi akisema No ni No, na huwezi tawala hisia zake kwa 100%

Akili zao kwa kiasi kikubwa zipo kwenye utafutaji. Mfano lile lishangazi langu la kwanza, nakumbuka katikati ya shoo alikuwa anaweza kupokea simu za wateja wake au za biashara. Nakumbuka kuna siku katikati ya shoo alishawahi kuniwasha kofi la kichwani kisa nilisahau kufunga mlango wa ofisi.

Sasa na Maza house ni hivyo hivyo, jitihada zote ziligonga mwamba nikaambiwa nihame. Sikuwa na jinsi, nikakubali kuhama. Akanipa wiki 1 niwe nishatekeleza ili swala, kinyume na hapo nisimlaumu.

Nikaanza jitihada za kutafuta chumba sehemu nyingine. Kila chumba ninachooneshwa ni kibaya. Mpaka wiki niliyopewa ikaisha, sijapata chumba. Asubuhi moja Maza house akaniambia "Bado upo? Shauri yako". Sikumtilia maanani nikiamini hana anachoweza kufanya.

Baada ya kama siku 3, nikamtext kuwa natamani tuagane kabla sijahama, hakujibu.Baadae nipo zangu gheto mida ya usiku. Nikasikia purukushani nje huko. Nikaamua kwenda kuangalia. Naskia sauti ya faza house ndani anafoka sana. Nikamuuliza mke wa mpangaji mwenzangu "Kuna Nini?. Nae anasema hajui kitu. Nikamuuliza jamaa mwingine ambae nae alikuwepo, ila nae haelewi. Hatujakaa sawa, tunaona Maza house katoka ndani speed, kapitiliza hadi nje ya geti anakimbia. Dakika chache, tunaona watoto wa faza house nao wametoka nje speed. Ghafla akatokea faza house akiwa kavimba,panga mkononi. Wapangaji wote tukasambaratika, kosa nililofanya,badala ya kwenda nje, nikakimbilia ghetto. Nikaona faza house anakuja upande wangu. Au kaona ile msg niliyotuma?. Yote kwa yote Nikajua, tayari pashaharibika hapa.....
 
Back
Top Bottom