Fumanizi la mama mwenye nyumba

You are so Funny we jamaa!
Inaonekana hata Comedy unaziweza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28] maisha yetu yenyewe comedy tosha
 
Kenge wewe umetufanya tunachungulia uzi kila sekunde alafu unaishia kukatiza uhondo!

Umechezea hisia zetu vibaya mno sijafurahia, kama vipi unga tela la Mwahija babu!
Tatizo muda master
 
Kama hii picha ni yako hongera,ila kama si ,ako basi Moderator wachukue hatua stahiki
 
Hapo kwenye mpangaji kukaa sehemu mpaka akaanza kufuga nimecheka sana. Kuna jamaa yangu hapo mwanza kapanga mahali kafuga mbuzi kama 60 nilivyoenda kwake nilicheka sana anajiita mwenye nyumba msaidizi since wapangaji wote wamemkuta.
Dah nimecheka kinoumaaa[emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…