Fumanizi la mama mwenye nyumba

Fumanizi la mama mwenye nyumba

You are so Funny we jamaa!
Inaonekana hata Comedy unaziweza[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28] maisha yetu yenyewe comedy tosha
 
Kenge wewe umetufanya tunachungulia uzi kila sekunde alafu unaishia kukatiza uhondo!

Umechezea hisia zetu vibaya mno sijafurahia, kama vipi unga tela la Mwahija babu!
Tatizo muda master
 
Dah! Ila mkuu mbona kama hii story ilishaisha baada ya mama mwenye nyumba kukufuma na mwanae K, Tukizingatia kichwa cha habari “FUMANIZI LA MAMA MWENYE NYUMBA’’

Hapo kwa mwahija hapo tutakaa sana hapo hiyo familia kama sio wangoni basi watakua akina nanilii kule kwakina shujaa wa kule bwana juzjuz tu hivi kaibuka maana hawajui kukataa hata kidogo..Ukapigwa chapuo hadi ukamsahau demu wako dah..Aise!

Taswira ya mwahija ikanijia ghafla[emoji116]
View attachment 2419886
Kama hii picha ni yako hongera,ila kama si ,ako basi Moderator wachukue hatua stahiki
 
Hapo kwenye mpangaji kukaa sehemu mpaka akaanza kufuga nimecheka sana. Kuna jamaa yangu hapo mwanza kapanga mahali kafuga mbuzi kama 60 nilivyoenda kwake nilicheka sana anajiita mwenye nyumba msaidizi since wapangaji wote wamemkuta.
Dah nimecheka kinoumaaa[emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom