Kwakweliiii ujue mambo mengine ufanye kwa kufikiri usitake uumiza moyo wako wakati unajua kabisa hata ukimfumania hutapack vitu vyako muachane upo palepale zaidi ni kuzalilishana tu na pia sio kuwa ndo ataacha kuchepukaHuu utopolo ndio siwezi kuja kuufanya
Eti kupigana na mwanamke niliyegundua anachepuka na mume wangu