vvti engine
Senior Member
- Nov 15, 2018
- 188
- 209
Bandari kwanza ndugu zangu, haya yapo siku zote. Doctor na maadili ya taaluma yake sijui kama atapona.Mke wa doctor amemfumania mume wake kituo cha kazi ( cha afya), akiwa na mchepuko,
Huku mchepuko akilala utupu kitanda cha mgonjwa kama mgojwa. Ili achepuke na doctor.