FUMANIZI: Mke amfumania mume (doctor) akimlaza mchepuko kama mgonjwa

FUMANIZI: Mke amfumania mume (doctor) akimlaza mchepuko kama mgonjwa

Siku akimpata me aliye muingia moyoni ndani kabisa. Akaolewa nae afu kikampata hicho ataelewa.
Kwa kawaida ukiona huna wivu na mwenzio ujue kabisa haumpendi kabisa. Na hata ukimwona mwenzio hana hata wivu ujue kuwa hakupendi.
Kama Mrs Thabo Bester si mmesoma comment zake hapa.
Huyo bibie nilisoma comment yake kwenye uzi mmoja kuwa alizaa nje ya ndoa, japo mume wake alimsamehe .
Ile comment uliiona ni ya serious? 😆😆 nikaandika kiben 5..lol..pole...mimi siww pigana kabisamume...ntapigana iwe ni sababu ya mom au baba
 
Tuachie utani...madokta wanafaidi aisee...ukiachilia mbali ile sauti yao ya unyenyekevu....ni Tongoza-Shawishi tosha kabisa kwa mtoto wa kike alielimbikiza/aliefuga nye.ge! Halafu akaugua ghafla!
 
haina haja ya kwenda kufumania , sijui unapigana! Kwanini ujitese??
Inakusaidia nini ukimpiga mtu kwa mfano?
Na ukiambiwa wapo mahali fulani eti unakwenda kuhakikisha nini? Ukishahakikisha na Ili ukijua ufanyeje sasa?
Asante naddy...sema na wewe wanaona raha wanawake kudhalilishana kisa mume .never on eath
 
Mke wa doctor amemfumania mume wake kituo cha kazi ( cha afya), akiwa na mchepuko,
Huku mchepuko akilala utupu kitanda cha mgonjwa kama mgojwa. Ili achepuke na doctor.


SORRY FOR VIDEO.
SIO MZURI SANA.

Video deleted
Mgonjwa wa mchongo
 
dah, nimeona uchi hapo nimedinda kweli 🙄
FB_IMG_16862411337747078.jpg

Nyetto kwa usalama wa Taifa
 
Back
Top Bottom