FUMANIZI: Mke amfumania mume (doctor) akimlaza mchepuko kama mgonjwa

FUMANIZI: Mke amfumania mume (doctor) akimlaza mchepuko kama mgonjwa

Madaktari wa mchongo, wamejaa visa huko maofisini.
 
Sasa hapo mwanamke ana kosa gani?Si apigane na aliemsaliti hilo gume gume lake,mmewe.
 
Hujaolewa wewe endelea kuisha maisha ya kuiba waume za watu.... Mla nyama za watu hawezi kuona ajabu mla nyama mwingi akila nyama hiyo.
Siku akimpata me aliye muingia moyoni ndani kabisa. Akaolewa nae afu kikampata hicho ataelewa.
Kwa kawaida ukiona huna wivu na mwenzio ujue kabisa haumpendi kabisa. Na hata ukimwona mwenzio hana hata wivu ujue kuwa hakupendi.
Kama Mrs Thabo Bester si mmesoma comment zake hapa.
Huyo bibie nilisoma comment yake kwenye uzi mmoja kuwa alizaa nje ya ndoa, japo mume wake alimsamehe .
 
Dume liko Wapi ? Au alitonywa akachora mapema, kama hajamkuta mume hapo katuwakilisha vizuri vidume, hamna kesi.
 
Wabongo kwa kupenda kuangalia nyuchi za wenzenu, hamjambo...!
 
Picha haina shida yoyte mkuu. hauna video ndefu kidogo?
 
Mke wa doctor amemfumania mume wake kituo cha kazi ( cha afya), akiwa na mchepuko,
Huku mchepuko akilala utupu kitanda cha mgonjwa kama mgojwa. Ili achepuke na doctor.


SORRY FOR VIDEO.
SIO MZURI SANA.

Video deleted

Delete na Uzi
 
Hujaolewa wewe endelea kuisha maisha ya kuiba waume za watu.... Mla nyama za watu hawezi kuona ajabu mla nyama mwingi akila nyama hiyo.
Mume wa mtu niliyekuiba ni wewe? Nyama gani unayoliwa hiyo?
 
Back
Top Bottom