Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
NdioUtakuwa mwanaume
Unataka nikukaze?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdioUtakuwa mwanaume
Ni kweli,nitakuwa simpendi kama kigezo cha upendo ni kupigana na mwanamke ambaye kuna uwezekano mkubwa alitongozwa na mume wangu ambaye anajua ana mke
Narudia mara ya 10 kuutazamadah, nimeona uchi hapo nimedinda kweli 🙄
Walk away... 🤷♀️Kwa hiyo wewe ungefanyaje katika situation Kama hii suppose umemfumq mumeo akiwa na mchepuko wake?
hujielewiNdio
Unataka nikukaze?
Utakuwa hujaolewa na mme umpendae wewe, au unaishi nae bora liende..... 🙄Huu utopolo ndio siwezi kuja kuufanya
Eti kupigana na mwanamke niliyegundua anachepuka na mume wangu
Yeah!ata mie nahisi itakuwa hivyoUtakuwa hujaolewa na mme umpendae wewe, au unaishi nae bora liende..... 🙄
HAKUNA mwanaume wala mwanamke akawa simple kias hicho kwa mme/mke wake.Yeah!ata mie nahisi itakuwa hivyo
Kutokuwa simple kwa mume/mke ni kupigana na mchepukwaji sio?HAKUNA mwanaume wala mwanamke akawa simple kias hicho kwa mme/mke wake.
Si ndio hapo sasa. Kwa hilo shape ilitakiwa Huyo aliekuwa anaamua pamoja na mchepuko waungane kumpiga huyo mke halali wa doktaSasa mke wa doctor hata kiuno tu hana,anagombana ili iweje
Kama wewe ulivyokuwa umpendi mume wako mpaka kuzaa nje, japo alikusamehe.Ila kuna wanawake wanajua kupenda jamani...dah...!kisa mume??pyee
Automatically huna uhusianao wa kihisia na mmeo/mke. HAKUNA binadam mwenye hisia za dhati juu ya ndoa yake akawa hivyo. Unless ndio pigo zako.... Unayoyaona pia unayafanya 🙄Kutokuwa simple kwa mume/mke ni kupigana na mchepukwaji sio?
Nafuzu vip kulifikia mkuu?Ila nawapongeza mudi kwa kurudisha lile jukwaa aiseee....[emoji847]
Naona wanawake wanagombania kitu chenye ncha kali.