FUMANIZI: Mke amfumania mume (doctor) akimlaza mchepuko kama mgonjwa

FUMANIZI: Mke amfumania mume (doctor) akimlaza mchepuko kama mgonjwa

Automatically huna uhusianao wa kihisia na mmeo/mke. HAKUNA binadam mwenye hisia za dhati juu ya ndoa yake akawa hivyo. Unless ndio pigo zako.... Unayoyaona pia unayafanya 🙄
Okei
 
@
unasema wanagombania ncha kali kwa sababu umri wako mdogo, hujaoa, hujapatwa na misukosuko ya ndoa. Au kama ni mtu mzima basi upeo wako mdogo, a plain old nitwit

watu huwa wanawekeza mipango yao, maisha yao na ya watoto wao kwenye ndoa, inapoharibika kwa wengi huwa ni karibia na death blow.
Joanah njoo ukasome hapa tafadhali
 
Wee...unaweza pigana kisa mume?
Myangu
Usimsikilize huyo dada sijui mama halipo hapo,
Alileta story yake moja hapa kwenye thread moja ishu ya kuzaa nje ya ndoa yake ila mume wake alimsamehe.
Anavyoonekana Mrs hapo hakumpenda mume wake mpaka sasa.
Na anavyoonyesha hata mume wake akichepuka hapati maumivu yoyote yale.
 
Hujaolewa wewe endelea kuisha maisha ya kuiba waume za watu.... Mla nyama za watu hawezi kuona ajabu mla nyama mwingi akila nyama hiyo.
haina haja ya kwenda kufumania , sijui unapigana! Kwanini ujitese??
Inakusaidia nini ukimpiga mtu kwa mfano?
Na ukiambiwa wapo mahali fulani eti unakwenda kuhakikisha nini? Ukishahakikisha na Ili ukijua ufanyeje sasa?
 
unasema wanagombania ncha kali kwa sababu umri wako mdogo, hujaolewa, hujaoa, hujapatwa na misukosuko ya ndoa. Au kama ni mtu mzima basi upeo wako simply ni mdogo, unafikiria kupatwa na ncha kali muda wote, a plain old nitwit

watu huwa wanawekeza mipango yao, maisha yao na ya watoto wao kwenye ndoa, inapoharibika kwa wengi huwa ni karibia na death blow.
Hana udogo wowote sema ndio tabia zake kutoka na waume za watu.....
 
kuna wanawake hawana kazi za kufanya kwakweli,,
 
Joanah utakuwa humpendi mumeo tu, hapa Duniani Ni Bora mtu akunyang'anye vyote lakini akuachie mwenzako unayempenda kwa dhati yako yote.

Mapenzi yanauma Sana huyo mwanamke yupo sawa tu.
Upo sahihi,
Water hao hawawapendi waume zao, ukiona una wivu na mwenzio ujue hampendi.
Kama Mrs Thabo Bester
Anaona sio sawa, yeye hampendi mume wake mpaka akazaa nje .
Japo mume wake alimsamehe.
 
Mke wa doctor amemfumania mume wake kituo cha kazi ( cha afya), akiwa na mchepuko,
Huku mchepuko akilala utupu kitanda cha mgonjwa kama mgojwa. Ili achepuke na doctor.
Na aliyepiga picha ma kuisambaza nani?
 
Back
Top Bottom