FUMANIZI: Mke amfumania mume (doctor) akimlaza mchepuko kama mgonjwa

FUMANIZI: Mke amfumania mume (doctor) akimlaza mchepuko kama mgonjwa

Ni ngumu sana lakini funzo kwetu wanawake tujifunze kudeal na mwanaume, pia tujitahidi kutokujipa ulinzi shirikishi kwani mwisho wa siku lazima utayapata tu kwani hawa viumbe (me) baadhi yao huwa wanajijua wenyewe tabia zao.
 
Yaani kamfuma uchi wa mnyama kama alivyo zaliwa, hii ni dhihaka kubwa sana! Ila ilipaswa a deal na mumewe kuliko huyo mwanamke mwenzie!

Matumizi mabaya ya ofisi na taaluma! Inaonekana ni mchezo wa mda mrefu mpaka kutengenezewa tego
 
Si ndio hapo sasa. Kwa hilo shape ilitakiwa Huyo aliekuwa anaamua pamoja na mchepuko waungane kumpiga huyo mke halali wa dokta
Huyo mume adhabu yake ataipata home, yaani jicho mpk anauliza bado tuu hujanisamehe mke wangu
 
Back
Top Bottom