A Aluwatan JF-Expert Member Joined Apr 7, 2023 Posts 267 Reaction score 573 Jun 13, 2023 #181 Joanah said: Huu utopolo ndio siwezi kuja kuufanya Eti kupigana na mwanamke niliyegundua anachepuka na mume wangu Click to expand... Kwakweliiii ujue mambo mengine ufanye kwa kufikiri usitake uumiza moyo wako wakati unajua kabisa hata ukimfumania hutapack vitu vyako muachane upo palepale zaidi ni kuzalilishana tu na pia sio kuwa ndo ataacha kuchepuka
Joanah said: Huu utopolo ndio siwezi kuja kuufanya Eti kupigana na mwanamke niliyegundua anachepuka na mume wangu Click to expand... Kwakweliiii ujue mambo mengine ufanye kwa kufikiri usitake uumiza moyo wako wakati unajua kabisa hata ukimfumania hutapack vitu vyako muachane upo palepale zaidi ni kuzalilishana tu na pia sio kuwa ndo ataacha kuchepuka
Mdigokhan JF-Expert Member Joined May 2, 2022 Posts 942 Reaction score 2,198 Jun 13, 2023 #182 February Makamba said: Huyu sio yule doctor wa saratani ya matiti kweli? Click to expand... ππ aliempa dada etu mimba na kusepa zake njee...
February Makamba said: Huyu sio yule doctor wa saratani ya matiti kweli? Click to expand... ππ aliempa dada etu mimba na kusepa zake njee...
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Jun 13, 2023 #183 Hii ni kali ya mwaka!! Doctor vipi?
February Makamba JF-Expert Member Joined Jan 31, 2020 Posts 2,151 Reaction score 2,983 Jun 13, 2023 #184 Mdigokhan said: ππ aliempa dada etu mimba na kusepa zake njee... Click to expand... Itakuwa huko ndo nje alikoenda...kaendeleza tabia yake hatimaye kakamatika
Mdigokhan said: ππ aliempa dada etu mimba na kusepa zake njee... Click to expand... Itakuwa huko ndo nje alikoenda...kaendeleza tabia yake hatimaye kakamatika