Fumba macho then uandike neno "Chit Chat" au "JamiiForums"

Fumba macho then uandike neno "Chit Chat" au "JamiiForums"

😅😅😅😅 Nimejaribu neno la Kifaransa hapa

teiusea
tejjseh
teibz

Hahahaaaa. Hatari sana Mtani.
haha Mzee wa Jamiidotnima acha aisee usije ukajing'ata.
Mambo mengine waachie wenyewe - Smart911
 
chitcorona


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nijaribu hii 'tujikinge na corona'

Tujikonve nd cifind

😀😀😀😀
Tutakuja kuandika matusi.
 
Nadhani tunaotumia simu ndio tunapata shida zaidi. Sababu kakeyboard ni kadogo mnoo hivyo waeza dhamiria herufi hii kumbe unatype ingine.
mazoea tu, natumia simu pia .. kwenye ku type siangaliage keyboard kabisa, hua nasoma nachoandika tu, ishakua mazoea, nimeimeza yote ilivyo , hata hii text nimeandika yote kwa mtindo huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom