Fumba macho then uandike neno "Chit Chat" au "JamiiForums"

Fumba macho then uandike neno "Chit Chat" au "JamiiForums"

Kuna watu mna nyota saaana katika hii dunia..

Kama umeandika huu upumbavu na bado followers kibao.
Hakika umebarikiwa hata ukianzisha biashara ya kuuza utapata wanunuzi saaana.

Kila la kheri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu watu hawapendi mambo mazito siku hizi. Juzi juzi niliandika uzi mzito huu hapa 👇👇👇
Mawazo haribifu huja wakati ukiwa dhaifu kifikra, kaa chonjo. - JamiiForums
Lakini hadi sasa hauna hata mchangiaji hata mmoja.😎😎😎😎😎😎. Let's have fun mkuu.

Fumba na wewe macho tuone utaandika nini mkuu😎😎😎😎
 
RAMANI ZA NYUMBA NA UJENZI

JM CONSTRUCTION COMPANY
JM COMPANY tunajihusisha na shughuli zote za ujenzi wa aina zote za nyumba (makazi au biashara) , kuanzia kuchora ramani, kuaandaa gharama za ujenzi(BOQ), Usimamizi wa ujenzi na ujenzi wenyew bila kusahau ushauri tunatoa bure..
0684636616 or 0672343706
jmconstructioncompany21@gmail
Dar es salaam
IMG_0231.JPG
03986abe-270b-40a5-9093-5637c458183a.jpg
f94e083a-7396-4414-8477-670e86578aff.jpg



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom