nzuri tu pia kwangu, karibu tupumzike kuiaga week...Iko poa aiseee Kaka sijui kwako?
Ahsante Kaka. [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]nzuri tu pia kwangu, karibu tupumzike kuiaga week...
[emoji4][emoji4]Ahsante Kaka. [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
πππJamiidotnima
Uwiiiiiiii. Hatari ndio nimefumba macho nikaandika Jamiiforums.
Mkuu..Chtachato
πππMkuu..
Naona wewe vidole vyako vinawaza chato tuu [emoji23][emoji23]
Manake naona umeandika chato mara mbili [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
Meku wewe keybodi yako iko tofauti kabisa.
Aisee, inaonekana vidole vyako vimestaarabika sana maana sio kwa swaga hizo.π π π πchiychay
Jamiifuroms