Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,431
- 4,925
chytifjusyt
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa! Shemeji vidole vya havina macho na wewe? [emoji3]
View attachment 845206
Hii ndio key board niliyotumia kutype hayo maneno.
Nilizingatia masharti ya mleta mada, nilichobahatika kukiandika ndio hicho
.
hahaha dada hapo ni baada ya kukodolea macho keybord kwa dk kadhaa!!Duuh. Kwa mbaaaali ulielekea Kaka.
Hahaaaa. Mie nimefanya hivyo hivyo kisha nikafumba macho waapi.hahaha dada hapo ni baada ya kukodolea macho keybord kwa dk kadhaa!!
mimi mzima kabisa dada angu...habari ya weekend!! [emoji4][emoji4]Hahaaaa. Mie nimefanya hivyo hivyo kisha nikafumba macho waapi.
Nimeambulia kuandika neno lisilotamkika. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mzima lakini weye?
Iko poa aiseee Kaka sijui kwako?mimi mzima kabisa dada angu...habari ya weekend!! [emoji4][emoji4]