TPP
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 650
- 783
Interesting...
Timu ya wanafunzi ya wanawake kutoka China imeweza kuchukua ushindi wa nafasi ya kwanza katika mashindano maarufu ya hisabati ya European Girls Mathematical Olympiad yaliyo fanyika nchini slovenia
Mashindano hayo yalihusisha team 55 (38 kutoka mataifa ya ulaya).
Nafasi ya mshindi wa pili ilichukuliwa na washiriki kutoka marekani (team U.S.A) na nafasi ya tatu ilienda kwa washiriki kutoka Australia (team Australia)
Mashindano haya mara nyingi yameshuhudia ushindi ukitwaliwa kwa wingi toka China toka kuanzishwa kwake kwa upande wa wanaume na kwa upande wa wanawake.
Picha ya washindi 1, 2 na 3