Fun Fact: China yaishinda Marekani na Australia mashindano ya Hisabati Ulaya

Fun Fact: China yaishinda Marekani na Australia mashindano ya Hisabati Ulaya

Hayo mashindano yanawahusu wachina wa America Australia na china hivyo wote kwa pamoja ni wachina na hayo yote yameandaliwa na uchina. Hakuna mzungu hapo bali wote ni asians
Hapana haya mashindano hayahusishi watu kutoka China pekee. Ni mashindano yanayo andaliwa na mataifa ya ulaya na kualika mataifa ya nje ya ulaya pia.

Mataifa 55 yameshiriki mwaka huu( 38 kutoka mataifa ya ulaya )
 
Ndio maana watu wa jamii zote pande zote za dunia wanapenda kukimbilia Marekani.
Kuna mambo yanawezekana Marekani tu, na hili ni mojawapo.
 
Back
Top Bottom