TPP JF-Expert Member Joined Mar 18, 2023 Posts 650 Reaction score 783 Jul 4, 2023 Thread starter #21 Ujamaamf said: Hayo mashindano yanawahusu wachina wa America Australia na china hivyo wote kwa pamoja ni wachina na hayo yote yameandaliwa na uchina. Hakuna mzungu hapo bali wote ni asians Click to expand... Hapana haya mashindano hayahusishi watu kutoka China pekee. Ni mashindano yanayo andaliwa na mataifa ya ulaya na kualika mataifa ya nje ya ulaya pia. Mataifa 55 yameshiriki mwaka huu( 38 kutoka mataifa ya ulaya )
Ujamaamf said: Hayo mashindano yanawahusu wachina wa America Australia na china hivyo wote kwa pamoja ni wachina na hayo yote yameandaliwa na uchina. Hakuna mzungu hapo bali wote ni asians Click to expand... Hapana haya mashindano hayahusishi watu kutoka China pekee. Ni mashindano yanayo andaliwa na mataifa ya ulaya na kualika mataifa ya nje ya ulaya pia. Mataifa 55 yameshiriki mwaka huu( 38 kutoka mataifa ya ulaya )
TPP JF-Expert Member Joined Mar 18, 2023 Posts 650 Reaction score 783 Jul 4, 2023 Thread starter #22 Proved said: Nchi za Africa zilishiriki ?...walishika nafasi ya ngapi? Click to expand... Tunisia
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Jul 4, 2023 #23 Ndio maana watu wa jamii zote pande zote za dunia wanapenda kukimbilia Marekani. Kuna mambo yanawezekana Marekani tu, na hili ni mojawapo.
Ndio maana watu wa jamii zote pande zote za dunia wanapenda kukimbilia Marekani. Kuna mambo yanawezekana Marekani tu, na hili ni mojawapo.