Mindset100
Member
- Jun 23, 2026
- 26
- 73
Chukua huyo wa milion 1 +Hapa wazee napigwa? Nyumba ina vyumba vitatu na iko mstatili ameniambia milioni moja na laki mbili, vifaa vyote ni vyangu maeneo ya Dar iko sawa? Na mwingine kaniambia laki nane na nusu lakini ananiambia ninunue mbao buguruni eti mbao moja 18,000/= hapo vipi?π
Mzee hii mbona unafanya mwenyewe tu, labda kama ni ke ama bonge nyanya.Hapa wazee napigwa? Nyumba ina vyumba vitatu na iko mstatili ameniambia milioni moja na laki mbili, vifaa vyote ni vyangu maeneo ya Dar iko sawa? Na mwingine kaniambia laki nane na nusu lakini ananiambia ninunue mbao buguruni eti mbao moja 18,000/= hapo vipi?π
Napiga paa mwenyewe?ππππππ Acha masihala mi naheshimu wataalamuMzee hii mbona unafanya mwenyewe tu, labda kama ni ke ama bonge nyanya.
cheki nimekutumia mesejiNapiga paa mwenyewe?ππππππ Acha masihala mi naheshimu wataalamu
Anapendekeza uyapange halafu uyakandamize na mawe.Napiga paa mwenyewe?ππππππ Acha masihala mi naheshimu wataalamu
Aezeke mwenyewe hayo mabati sio? Unataka mtu avunjike pumbu subiri uoneMzee hii mbona unafanya mwenyewe tu, labda kama ni ke ama bonge nyanya.
Vyumba vitatu na sebule na dinning au vyumba vitatu milango nje? Inaweza ikawa nyumba ya vyumba vitatu lakini ikawa na vitu kibao, kitchen,stoo, public toilet ya ndani, etc,Hapa wazee napigwa? Nyumba ina vyumba vitatu na iko mstatili ameniambia milioni moja na laki mbili, vifaa vyote ni vyangu maeneo ya Dar iko sawa? Na mwingine kaniambia laki nane na nusu lakini ananiambia ninunue mbao buguruni eti mbao moja 18,000/= hapo vipi?π
Ukubwa wa nyumba mita urefu mita 10 upana mita 9
Nyumba mstatili tu mzee imetoka mbele varanda tu kidogo.Vyumba vitatu na sebule na dinning au vyumba vitatu milango nje? Inaweza ikawa nyumba ya vyumba vitatu lakini ikawa na vitu kibao, kitchen,stoo, public toilet ya ndani, etc,
Mbao za buguruni ujanja mwingi, we umejengea Maeneo gani? Nikupe fundi