Fundi anataka milioni 1.2 kuezeka nyumba ya vyumba vitatu

Fundi anataka milioni 1.2 kuezeka nyumba ya vyumba vitatu

Hapa wazee napigwa? Nyumba ina vyumba vitatu na iko mstatili ameniambia milioni moja na laki mbili, vifaa vyote ni vyangu maeneo ya Dar iko sawa? Na mwingine kaniambia laki nane na nusu lakini ananiambia ninunue mbao buguruni eti mbao moja 18,000/= hapo vipi?😀

Ukubwa wa nyumba mita urefu mita 10 upana mita 9.

Alianza na milioni 1.5 hapo milioni moja na laki mbili kashuka na aligoma katakata akasema hata iwe milioni 1 hapana.
uwezo, viwango vya kazi vinatofautiana na hata bei huwa tofauti pia
 
Back
Top Bottom