Fundi anataka milioni 1.2 kuezeka nyumba ya vyumba vitatu

Kwa hiyo 1.2m itatosha kujimudu maisha yake yote kama akipata tatizo?
 
Mtumie huyo wa laki nane kisha mwambie unataka paa linyoke kwelikweli na mwambie akipindisha feacial board au kenchi utamkata malipo yake.....kuhusu mbao nunua tu zile za futi 12 treated zinafaa tu...
 
Tafuta fundi Mwanza wanabei poa sana,gharama ya wewe kumleta tu kuondoka anajigharamia mwenye,kwa nyumba kama hiyo kwa fundi wa Mwanza ni sh 500,000 tu,mtafute huyu anaitwa Kwilasa no 0753581808,mwakbie no nimepewa na jamaa wako wa Luguruni Kibamba
 
Pita uzi wangu humu JESHI LA KUEZEKA. Ukielewa nikutumie namba ya jamaa. Hio nyumba yako wanakuja kuezeka kwa siku moja na bei haitazidi 800K. Yaani nunua kila kitu wanakuja asubuhi jionj wanakukabidhi kazi.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…