Fundi Flat TV na vitu vyote vya umeme

Fundi Flat TV na vitu vyote vya umeme

  • TV yako haiwaki?
  • TV yako inajizima?
  • TV yako unasikia sauti huoni picha?
  • TV yako inawaka nusu hazijazi kioo?
  • TV yako imeingia giza upande mmoja?
  • TV yako imeua taa?
  • TV yako inarangi moja, njano, blue, nyekundu?
  • TV yako inawaka taa nyekundu tu?
  • TV yako haina sauti?
  • TV yako inaonyesha mistali?
  • TV yako imeingiza mistali ya kulukaluka?
  • TV yako inaonyesha picha mbili?
  • TV yako inawaka na kujizima?
  • TV yako inaonyesha kama mawingu ya rangi?
  • TV yako inaonyesha picha inaganda?
  • TV yako inaonyesha mwanga mweupe?
  • TV yako inawaka haiandiki chochote?
  • TV yako imepasuka ki00? vioo vipo, kioo size 32" ni 160,000, kioo 43 ni 360,000. Size zingine za vioo tuwasiliane.
Simu: 0713799522

Karibuni wenye tatizo na TV zenu, ofisi ipo Ilala mtaa wa Pangani.

View attachment 2599219View attachment 2599220View attachment 2599221
LG yangu nche 63 inawaka alacu baada ya dakika moja hivi inazima picha.unasikia sauti tuu picha huoni.ukizima ukutani kwenye switch alafu hapo hapo ukawasha inawaka tena vizuri sauti na picha unaona ila baada ya dakika tena picha inazima unasikia sauti tuu.shida itakuwa nini
 
Back
Top Bottom