Dayan electronic
Member
- Jun 24, 2024
- 5
- 2
Upo wap mimi npo mwanza nifundiTv yangu nikiiwasha inawaka halafu inaandika jina sony halafu inazima,ikifanya hvyo mara3 inazima kabisa inawasha taa nyekundu,Unaweza kuitibu fundi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo wap mimi npo mwanza nifundiTv yangu nikiiwasha inawaka halafu inaandika jina sony halafu inazima,ikifanya hvyo mara3 inazima kabisa inawasha taa nyekundu,Unaweza kuitibu fundi
Upo wapTv yangu nikiweka zile wire za hdmi kuja kwenye hometheath inaniandkia signal lost ila picha inaleta tatzo sauti haifki je shida Ni nn apo mkuu..? Hata nkiweka zike waya za njano red blue picha inafkq ila haisafrshi sauti mkuu
Alikuibia mkuu?Kuweni makini na Jizi hili!
Aliniibia Tv Hisense 32"Alikuibia mkuu?
Mbona kama unamharibia biashara
Tunaomba ukanushe ndugu fundi TV.Aliniibia Tv Hisense 32"
Sichafui wewe kanusha kama hujachukua hisense yangu 32" + 70,000/=? alafu unajidai muislamu safi.boss umeamua kuja kuchafua ukurasa wangubwa biashara
Fafanua kuhusu mdau pale juu, anadai umechukua TV na hela yake ukaingia mitiniTUNAFANYA MPAKA HOME SERVICE KWA TV AINA ZOTE NA SIZE ZOTE.. UHAKIKA TV KUPONA NI 100%
0744680670
0618199522
FUNDI TV AINA ZOTE NA TUNAFANYA NA HOME SERVICE:
JE -Tv yako haiwaki?
-tv yako inajizima ?
-tv yako unasikia sauti huoni picha?
-tv yako inawaka nusu hazijazi kioo?
-tv yako imeingia giza upande mmoja?
-tv yako imeua taa?
-tv yako inarangi moja? njano,blue,
nyekundu?
-tv yako inawaka taa nyekundu tu?
-tv yako haina sauti?
-tv yako inaonyesha mistali?
tv yako imeingiza mistali ya kulukaluka?
-tv yako inaonyesha picha mbili?
-tvyako inawaka na kujizima?
-tv yako inaonyesha kama mawingu ya rangi?
-tv yako inaonyesha picha inaganda?
-tv yako inaonyesha mwanga mweupe?
-tv yako inawaka haiandiki chochote?
TV YAKO IMEPASUKA KI00?
VIOO VIPO, KIO0 SIZE 32" NI 160,000
-KI00 43 NI 360,000
SIZE ZINGINE ZA VIOO TUWASILIANE.
0713799522
0744680670
View attachment 3015992View attachment 3015993