Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo sio Saidi kweli?FUNDI TV AINA ZOTE NA TUNAFANYA NA HOME SERVICE:
JE -Tv yako haiwaki?
-tv yako inajizima ?
-tv yako unasikia sauti huoni picha?
-tv yako inawaka nusu hazijazi kioo?
-tv yako imeingia giza upande mmoja?
-tv yako imeua taa?
-tv yako inarangi moja? njano,blue,
nyekundu?
-tv yako inawaka taa nyekundu tu?
-tv yako haina sauti?
-tv yako inaonyesha mistali?
tv yako imeingiza mistali ya kulukaluka?
-tv yako inaonyesha picha mbili?
-tvyako inawaka na kujizima?
-tv yako inaonyesha kama mawingu ya rangi?
-tv yako inaonyesha picha inaganda?
-tv yako inaonyesha mwanga mweupe?
-tv yako inawaka haiandiki chochote?
TV YAKO IMEPASUKA KI00?
VIOO VIPO, KIO0 SIZE 32" NI 160,000
-KI00 43 NI 360,000
SIZE ZINGINE ZA VIOO TUWASILIANE.
0713799522View attachment 2663789View attachment 2663790
Mkuu mambo vipi. Nina tv yangu inc 50 Samsung mwanga wake sio mweupe. Mwangawake ni WA njano je tatizo ni bablu au Nini maana nimefanya setting zoteSimu: 0713799522
- TV yako haiwaki?
- TV yako inajizima?
- TV yako unasikia sauti huoni picha?
- TV yako inawaka nusu hazijazi kioo?
- TV yako imeingia giza upande mmoja?
- TV yako imeua taa?
- TV yako inarangi moja, njano, blue, nyekundu?
- TV yako inawaka taa nyekundu tu?
- TV yako haina sauti?
- TV yako inaonyesha mistali?
- TV yako imeingiza mistali ya kulukaluka?
- TV yako inaonyesha picha mbili?
- TV yako inawaka na kujizima?
- TV yako inaonyesha kama mawingu ya rangi?
- TV yako inaonyesha picha inaganda?
- TV yako inaonyesha mwanga mweupe?
- TV yako inawaka haiandiki chochote?
- TV yako imepasuka ki00? vioo vipo, kioo size 32" ni 160,000, kioo 43 ni 360,000. Size zingine za vioo tuwasiliane.
Karibuni wenye tatizo na TV zenu, ofisi ipo Ilala mtaa wa Pangani.
View attachment 2599219View attachment 2599220View attachment 2599221
inawezekana ikawa reflector zimeungua kama ni tv ya muda mrefu.. inarekebishikaMkuu mambo vipi. Nina tv yangu inc 50 Samsung mwanga wake sio mweupe. Mwangawake ni WA njano je tatizo ni bablu au Nini maana nimefanya setting zote
Wewe? Kumbe!FUNDI TV AINA ZOTE NA TUNAFANYA NA HOME SERVICE:
JE -Tv yako haiwaki?
-tv yako inajizima ?
-tv yako unasikia sauti huoni picha?
-tv yako inawaka nusu hazijazi kioo?
-tv yako imeingia giza upande mmoja?
-tv yako imeua taa?
-tv yako inarangi moja? njano,blue,
nyekundu?
-tv yako inawaka taa nyekundu tu?
-tv yako haina sauti?
-tv yako inaonyesha mistali?
tv yako imeingiza mistali ya kulukaluka?
-tv yako inaonyesha picha mbili?
-tvyako inawaka na kujizima?
-tv yako inaonyesha kama mawingu ya rangi?
-tv yako inaonyesha picha inaganda?
-tv yako inaonyesha mwanga mweupe?
-tv yako inawaka haiandiki chochote?
TV YAKO IMEPASUKA KI00?
VIOO VIPO, KIO0 SIZE 32" NI 160,000
-KI00 43 NI 360,000
SIZE ZINGINE ZA VIOO TUWASILIANE.
0713799522View attachment 2862734View attachment 2862735View attachment 2862736View attachment 2862737
Kwa gharama hizo bora ujichange ununue mpyakioo kipya 760,000 pamoja na ufundi
Ngoja ajeTv imepigwa short ya umeme baada ya radi kufanya yake, inatakiwa nibali kipi?.
Tv ni hisense smart inchi 43
Hivi hawa manufacturers kwanini wanapoleta bidhaa (TV)zao sokoni, kwanini wasilete na Spair zake?, yaani bei ya kioo unapata TV nyinginè aisee.kioo kipya 760,000 pamoja na ufundi
Hata mimi sielewi kwanini wanafanya for single use?Hivi hawa manufacturers kwanini wanapoleta bidhaa (TV)zao sokoni, kwanini wasilete na Spair zake?, yaani bei ya kioo unapata TV nyinginè aisee.