Fundi Flat TV na vitu vyote vya umeme

LG yangu nche 63 inawaka alacu baada ya dakika moja hivi inazima picha.unasikia sauti tuu picha huoni.ukizima ukutani kwenye switch alafu hapo hapo ukawasha inawaka tena vizuri sauti na picha unaona ila baada ya dakika tena picha inazima unasikia sauti tuu.shida itakuwa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…