Fundi gearbox Dodoma

Fundi gearbox Dodoma

Nenda pale Singida Road nyuma ya she'll ya Africana kuna fundi Ustaadhi mmoja aisee yule jamaa ni fundi haswa. Mawasiliano yake njoo inbox
 
Anaitwa nani, nahisi niko maeneo haya haya, nipo kizota hapa, pm yangu iko wazi, weka mawasiliano yake.
 
Kama hukupata kuna fundi yuko Four ways pale Total na garage pia petrol station ya Meru kabla hujafika Mnada Mpya anaitwa Ringo ni mwaminifu na yuko makini na kazi yake.
 
Nashukuru nilifanikiwa ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom