makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Wakuu nani anamjua fundi mzuri,muaminifu wa gearbox kwa hapa dodoma, chombo yangu imezingua.
Gari ni nissan xtrail, mzigo manual.
Gari ni nissan xtrail, mzigo manual.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante ndugu yangu, japo sijapoa, naona maseke yameniandama.Pole sana ndugu....
Imezingua nini bossWakuu nani anamjua fundi mzuri,muaminifu wa gearbox kwa hapa dodoma, chombo yangu imezingua.
Gari ni nissan xtrail, mzigo manual.
Nahisi riz bearing ndugu yangu,Imezingua nini boss
Anaitwa nani, nahisi niko maeneo haya haya, nipo kizota hapa, pm yangu iko wazi, weka mawasiliano yake.Nenda pale Singida Road nyuma ya she'll ya Africana kuna fundi Ustaadhi mmoja aisee yule jamaa ni fundi haswa. Mawasiliano yake njoo inbox
Nashukuru nilifanikiwa ndugu yangu.Kama hukupata kuna fundi yuko Four ways pale Total na garage pia petrol station ya Meru kabla hujafika Mnada Mpya anaitwa Ringo ni mwaminifu na yuko makini na kazi yake.