makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Gari tunaitengeneza kawaida, ikigoma tunjua imerogwa tunapiga manyanga ngoma inatulia. 😂Mwaka huu naleta huduma kama hiyo lakini kwa bei rafiki kaeni mkao wa kupata huduma bora kwa bei rafiki
Hakuna gari itakuja na kurudi mbovu.