Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
- Thread starter
- #41
daaah๐๐๐๐๐๐ Wakati huduma hio hio unaipata kwa 50 tu pale Mnazi Mmoko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daaah๐๐๐๐๐๐ Wakati huduma hio hio unaipata kwa 50 tu pale Mnazi Mmoko
Mkuu! Hii huduma umefanikisha tukutafute?Mwaka huu naleta huduma kama hiyo lakini kwa bei rafiki kaeni mkao wa kupata huduma bora kwa bei rafiki
Ila leo nimejaribu kufatilia garage yake naona jamaa anavifaa vingi vya kisasa, Na mafundi wapo vijana wa kazi na ule usafi wa garage umenishawishi nifikirie kumtumbelea hahaha!Dr Toyota sio fundi, ni muuza Accessories.
Alivyoshika soko la accessories, akaanza kuingia kwenye kuprogram funguo, wheel balancing, tint, nk.Ila leo nimejaribu kufatilia garage yake naona jamaa anavifaa vingi vya kisasa, Na mafundi wapo vijana wa kazi na ule usafi wa garage umenishawishi nifikirie kumtumbelea hahaha!
Shukrani chief! Ni kweli nilikuwa nahitaji fundi wa kufanya check up pia! Na ambao hata ofisi zao nzuri maana za uswahilini nimeona miyeyusho sanaaAlivyoshika soko la accessories, akaanza kuingia kwenye kuprogram funguo, wheel balancing, tint, nk.
Sasa kaanza ufundi kwa kuchukua vijana na kupiga nao kazi.
Kama tu kubadirisha oil nk just go, ila kama gari lako liko sensitive na mafundi usipeleke.
sio kweli. mwananyamala ku a mhindi fundi na wala hana mbwembe.akikutengenezea uhakika.na wala humkut mchafu kwanza picha inaanza anafeni inampepea.kama una gari yako unaipenda nenda.Kwa uzoefu wangu kufungua garage huku ukiwa na mafundi guru ni kazi sana. Maana garage bado mpya kazi hupati kabisa au zinakuja chache, siku inaisha jioni ofisi haijaingiza chochote inabidi uingie mfukoni umpe fundi chochote kitu mkono uende mdomoni. Vinginevyo fundi atakuvumilia siku chache baada ya hapo ataanza kukupa sababu za kutofika kazini, ukiona ivyo ujue kasharudi kwenye kijiwe chake cha zamani.
Kwamba nadanganya? Ili iweje? Napata nini kwa kusema maneno ya uongo hapa jamvini? Nimesema kwa "uzoefu wangu" means ni personal experience niliyopitia. Sasa nashangaa unakurupuka kunipinga kwamba sio kweli as if wakati nafungua garage tulikua wote bega kwa bega.sio kweli.
Ni Tsh 0 kumuunga mkono kijana mwenzio anaejikwamua kwa kujipatia kipato halali kwa ajili ya maendeleoAlikua na duka la accessories mwenge naona kafungua na garage safi sana hua anajituma naamini hata kama sii yeye basi atakua kaajiri mafundi wazuri sana , watu kama hao tuwaunge mkono na kuwashauri pale inapobidi, tusikubali watu waanguke tuwasupport, ndio maendeleo
Mkuu ulishalifanikisha hili?Ninataka kufungua shop yangu ya kisasa zaidi hapo Kimara Temboni kwa vile ndiko nimepata nafasi. Bei zangu zitakuwa nzuri sana. Kama unanifahamu kutokea kwenye uzi huu Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli usisite kunitembelea huko Kimara Temboni huenda kuanzia mwezi wa saba. Bado nafungasha vifaa kwenye maboksi ambavyo nategemea kuviweka kwenye macontainer mwezi wa tatu hivi.
Sijafanikisha; nilipokuja kuangalia eneo la kazi nililokuwa nimeahidiwa nikagundua kuwa lilikuwa siyo halali. Nikarudi kazini ila ninategema kuja tena mwezi wa tano mwakani. Kuna eneo jingine nimeahidiwa huko Goba lakini sina imani kuwa litakuwa zuri kibiashara. Nikienda kulikagua ndipo ntajua hatua za kufanya. Mpaka sasa mitambo yangu bado iko kwenye storage haijatsafirishwa kwani ninataka ikifika ianza kufanya kazi mara moja, siyo kusafisfairisha bila kuwa na uhakika huo.Mkuu ulishalifanikisha hili?
Fundi ngumbaru huyoYupo vizuri kufanya service za umeme na kufunga Radio,Taa na urembo kwenye Nissan na Toyota Cars.
Awekee na kalodge pemben mshaurinMwaka huu naleta huduma kama hiyo lakini kwa bei rafiki kaeni mkao wa kupata huduma bora kwa bei rafiki
Ningekushauri, tafuta likizo hata two or three weeks. Njoo bongo. Ingia front. Lisome soko, identify customer segments unazotafuta. Angalia wako mitaa gani. Then tafuta eneo. Usitafute eneo for the sake.Sijafanikisha; nilipokuja kuangalia eneo la kazi nililokuwa nimeahidiwa nikagundua kuwa lilikuwa siyo halali. Nikarudi kazini ila ninategema kuja tena mwezi wa tano mwakani. Kuna eneo jingine nimeahidiwa huko Goba lakini sina imani kuwa litakuwa zuri kibiashara. Nikienda kulikagua ndipo ntajua hatua za kufanya. Mpaka sasa mitambo yangu bado iko kwenye storage haijatsafirishwa kwani ninataka ikifika ianza kufanya kazi mara moja, siyo kusafisfairisha bila kuwa na uhakika huo.
Asante sana kwa ushauri.Ningekushauri, tafuta likizo hata two or three weeks. Njoo bongo. Ingia front. Lisome soko, identify customer segments unazotafuta. Angalia wako mitaa gani. Then tafuta eneo. Usitafute eneo for the sake.
Kujua unalenga aina gani ya watu ni muhimu sana. Najua kwa sababu upo nje, kuna natural advantages utakuwa nazo. Vifaa modern na vizuri, kuliko wengi hapa bongo. Ila muhimu ni nani anaweza kulipia hiyo service? Customer wa kimara temboni ni tofauti na customer wa mbezi beach au mikocheni. It is what it is. Jitahidi sana upande investments kwenye quality services.
Angalia sana usifungue biashara then ukabidhi ndugu then urudi Ulaya! Utagombana na ndugu zako. Najua utakuwa umejipanga vizuri. Ni angalizo tuu nakupa mkuu. Mfano unaweza kuinvest kwenye electronic payment. Avoid kabisa wafanyakazi wako kukutana na cash. Unless they have too. Being huko mambelezz..hili, among other things, naamini unaliweza.