Fundi magari anaitwa Dr.Toyota anajua kweli au mbabaishaji tu?

fungua mwamba maana naamini kwa kuwa wayajua magari huduma itakuwa nzuri tena weka mafundi guru wa vyuma (bmw, benzi, audi, vw) vya ulaya na gari wasizopenda akina fundi juma kama mitsubishi, nissan
Kwa uzoefu wangu kufungua garage huku ukiwa na mafundi guru ni kazi sana. Maana garage bado mpya kazi hupati kabisa au zinakuja chache, siku inaisha jioni ofisi haijaingiza chochote inabidi uingie mfukoni umpe fundi chochote kitu mkono uende mdomoni. Vinginevyo fundi atakuvumilia siku chache baada ya hapo ataanza kukupa sababu za kutofika kazini, ukiona ivyo ujue kasharudi kwenye kijiwe chake cha zamani.
 
Dr Toyota , apo vzr huyu bwana,
Japo maranyingi huzungumzia maswala ya urembo WA gari, ila naamini kama saiv ana garage bas atakua na mafundi wazur.
 
uko sahihi sana mkuu
 
Maneno yakishakuwa mengi jua unapigwa pesa kwa maneno hayo hayo.
 
Sometimes a high price is just a high price nothing to it.
 
Jamaa anajua,kuna tinted anaziongeleaga ambazo wa ndani haoni weusi kabisa wa nje haoni ndani,sasa maduka mengine tinnted unajiona mwenyewe mara uchane kioo .ANAJUA product anayokupa
 
Dr Toyota yuko poa sana,
Aliniwekea tinted mpaka Leo iko vizuri[emoji817],
Mafundi wengi wa mtaani ni wezi,
Akitaka kukuwekea tinted anakuwekea jioni au usiku.
Kama hutajali, naomba nisaidie bei yake kuweka tinted. [emoji1317]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…