Fundi nguo wa hayati mzalendo wetu hakua fair

Naamini mpaka anakufa hizo suit hazijawahi mtosha.

Mwenyewe aliona ametokelezea hapo.

Ila kiukweli kushonewa mibwanga kama hiyo nadhani sio kwa mwendazake tu hiyo ni watanzania karibia wengi wa zamani.

Ukitazama picha zao walizopatia vipaimara suit ni mifuko ya machine.

Yaani mtu kashonewa suit akiwa na miaka 14 ila inakuja kumtosha kabisa akiwa na miaka 30.

Mafundi wa zamani walikuwa sio wezi wa vitambaa.
 
Hebu mtuondolee habari za kikaragosi huyo. Tuko na mama sasa, mbona mnalazimisha akumbukwe huku alitutesa sana.
Ndani ya miaka 5 -6 hakuna kupanda cheo, hakuna mshahara mpya.
Mama ndani ya miezi 3 tu kitu kimenona. Huu ndio utanzania uliojaa utu na heshima.
Na July mshahara unaongezwa hapo tutakuwa tunadaiwa sisi tu na Watanzania wakisubiri huduma bora
Eti wehu wenzake walikuwa wakimpa sifa kuwa nidhamu katika utumishi wa umma imeongezeka.
Idiot
 
Dahh hii comment yako imenipa furaha siku nzima
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aisee watu mnahatari..πŸ˜‚
 
Alikua anapenda ile new balance yake. Anatokea nayo usiku. Tanzania oye taifa stars oye huu ndio mpira
 
Mkuu Maxence Melo ninaombi kwa hizi post ziangaliwe kwa makini! Haiwezekani kila siku si chini ya nyuzi 10 zinafunguliwa kumkashifu Hayati Magufuli! Kaa JamiiForums ni sehemu ya mpango huu tujuzeni ama sivyo nasi tutaanza kufungua nyuzi za kuwakejeri nyinyi wenyewe alafu tuone kama mtapenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"...Mbere"πŸ˜ŠπŸ˜€πŸ˜πŸ˜ƒ mbavu zanguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…