Fundi nguo wa hayati mzalendo wetu hakua fair

Maisha ya mwanadamu ni kama maua, huchanua na kunyauka. Ee nafsi yangu umuhimidi bwana Mungu.
Acha tu.
Kama Mimi ambaye sijazoea kuumwa siku mwili ukijisikia vibaya kidogo tu Basi nakuwa na hofu naona Kama ndo naenda kufa.
Mawazo kibao.
 
Mkuu Maxence Melo ninaombi kwa hizi post ziangaliwe kwa makini! Haiwezekani kila siku si chini ya nyuzi 10 zinafunguliwa kumkashifu Hayati Magufuli! Kaa JamiiForums ni sehemu ya mpango huu tujuzeni ama sivyo nasi tutaanza kufungua nyuzi za kuwakejeri nyinyi wenyewe alafu tuone kama mtapenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
iwe funzo kwa wengine. watendee watu haki.
 
Kwa hili namtetea Magufuli. Hizo nguo ni za mtumba hasa picha ya kwanza. Nguo za mtumba hazina adabu. Ukijaribisha wakati wa kununua inakutosha ila ukifika home ukafua unashangaa inakubana au imekuwa kubwa.

Kwa hili kosa siyo la Magufuli
 
Kwa nini asingezipunguza?Na hiyo picha ya kanzu unaizungumziaje?
 
Alikuwa hashauriki, anaambiwa siku hizi watu wanavaa slim fit, yeye anasema pamba tunayo nyingi, tumerima miche mirihoni sarasini na tisa mia saba kumi na mbere, inayotoa tani merioni tatu na marobota raki saba ya majora ya vitambaa, hebu fundi mwaga mbwembwe
Unajua hiyo picha ni ya mwaka gani
 
Hayo makoti ya suti yanatosha kabisa kutumika kama pazia...
 
Alikuwa hashauriki, anaambiwa siku hizi watu wanavaa slim fit, yeye anasema pamba tunayo nyingi, tumerima miche mirihoni sarasini na tisa mia saba kumi na mbere, inayotoa tani merioni tatu na marobota raki saba ya majora ya vitambaa, hebu fundi mwaga mbwembwe
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] dah
 
Alikuwa hashauriki, anaambiwa siku hizi watu wanavaa slim fit, yeye anasema pamba tunayo nyingi, tumerima miche mirihoni sarasini na tisa mia saba kumi na mbere, inayotoa tani merioni tatu na marobota raki saba ya majora ya vitambaa, hebu fundi mwaga mbwembwe
We jamaa mim naumwa eti 😀😀😀😀 kila mtu ananshangaa hapa.
 
Unajua hiyo picha ni ya mwaka gani

Wacha kuuliza mwaka,huyo jamaa alikuwa tu mshambashamba Hiyo ni miaka ya mwisho mwa 1998-1999 au mwanzoni mwa 2000 lakini umewahi kuona Uvaaji wa Mwamba Nyerere hata huko miaka ya mwishoni mwa 1950 na hata akiwa ikuku kuanzia 1961? Mzee Nyerere alikuwa smart sana ,Sasa huyo Magu miaka ya tisini alikini anapiga mibwanga hiyooooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2068271
View attachment 2068272
Muangalie Mwamba na nikitambo labda Magu ndio ako na miaka kama 3 hivi
 
Miaka hiyo ndio ulikuwa fashion
 
Back
Top Bottom