Fundi nguo wa hayati mzalendo wetu hakua fair

Maisha ya mwanadamu ni kama maua, huchanua na kunyauka. Ee nafsi yangu umuhimidi bwana Mungu.
Acha tu.
Kama Mimi ambaye sijazoea kuumwa siku mwili ukijisikia vibaya kidogo tu Basi nakuwa na hofu naona Kama ndo naenda kufa.
Mawazo kibao.
 
iwe funzo kwa wengine. watendee watu haki.
 
Kwa hili namtetea Magufuli. Hizo nguo ni za mtumba hasa picha ya kwanza. Nguo za mtumba hazina adabu. Ukijaribisha wakati wa kununua inakutosha ila ukifika home ukafua unashangaa inakubana au imekuwa kubwa.

Kwa hili kosa siyo la Magufuli
 
Kwa hili namtetea Magufuli. Hizo nguo ni za mtumba hasa picha ya kwanza. Nguo za mtumba hazina adabu. Ukijaribisha wakati wa kununua inakutosha ila ukifika home ukafua unashangaa inakubana au imekuwa kubwa.

Kwa hili kosa siyo la Magufuli
Kwa nini asingezipunguza?Na hiyo picha ya kanzu unaizungumziaje?
 
Nyanaume Kama nyanaume mamaeee nimecheka Sana.
 
Unajua hiyo picha ni ya mwaka gani
 
Hayo makoti ya suti yanatosha kabisa kutumika kama pazia...
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] dah
 
We jamaa mim naumwa eti πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ kila mtu ananshangaa hapa.
 
Unajua hiyo picha ni ya mwaka gani

Wacha kuuliza mwaka,huyo jamaa alikuwa tu mshambashamba Hiyo ni miaka ya mwisho mwa 1998-1999 au mwanzoni mwa 2000 lakini umewahi kuona Uvaaji wa Mwamba Nyerere hata huko miaka ya mwishoni mwa 1950 na hata akiwa ikuku kuanzia 1961? Mzee Nyerere alikuwa smart sana ,Sasa huyo Magu miaka ya tisini alikini anapiga mibwanga hiyooooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2068271
View attachment 2068272
Muangalie Mwamba na nikitambo labda Magu ndio ako na miaka kama 3 hivi
 
Miaka hiyo ndio ulikuwa fashion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…