NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Miaka hiyo ndio ulikuwa fashion
Nguo za kishujaa wa Africa haswaaππππ
Yaani mtu kashonewa suit akiwa na miaka 14 ila inakuja kumtosha kabisa akiwa na miaka 30.
Mkuu Maxence Melo ninaombi kwa hizi post ziangaliwe kwa makini! Haiwezekani kila siku si chini ya nyuzi 10 zinafunguliwa kumkashifu Hayati Magufuli! Kaa JamiiForums ni sehemu ya mpango huu tujuzeni ama sivyo nasi tutaanza kufungua nyuzi za kuwakejeri nyinyi wenyewe alafu tuone kama mtapenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawaza mshahara tu, mifanyakazi mingi ya sirikali ni ..............Hebu mtuondolee habari za kikaragosi huyo. Tuko na mama sasa, mbona mnalazimisha akumbukwe huku alitutesa sana.
Ndani ya miaka 5 -6 hakuna kupanda cheo, hakuna mshahara mpya.
Mama ndani ya miezi 3 tu kitu kimenona. Huu ndio utanzania uliojaa utu na heshima.
Na July mshahara unaongezwa hapo tutakuwa tunadaiwa sisi tu na Watanzania wakisubiri huduma bora
Eti wehu wenzake walikuwa wakimpa sifa kuwa nidhamu katika utumishi wa umma imeongezeka.
Idiot