demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Hawezi kuja kukuelewa, brain imesha kuwa reset into a read-only-mode.Hiyo ni ndoto mkuu,Yanga bingwa tena msimu ujao,Yanga inaendelea na usajili wake km kawaida ila ww endelea kusikiliza propaganda za viongozi wako
Ushahidi muulize suala la FIFA uone kama analo la maana la kujibu
[emoji23]