Fundi Niyonzima sasa rasmi Simba SC, hongera mtani

Hiyo ni ndoto mkuu,Yanga bingwa tena msimu ujao,Yanga inaendelea na usajili wake km kawaida ila ww endelea kusikiliza propaganda za viongozi wako
Hawezi kuja kukuelewa, brain imesha kuwa reset into a read-only-mode.

Ushahidi muulize suala la FIFA uone kama analo la maana la kujibu
[emoji23]
 
Hawezi kuja kukuelewa, brain imesha kuwa reset into a read-only-mode.

Ushahidi muulize suala la FIFA uone kama analo la maana la kujibu
[emoji23]
Nyie harakati zenu za kumfunfa Simba bao 5 bado zipo?
 
Nyie harakati zenu za kumfunfa Simba bao 5 bado zipo?

Mbona tulikupiga chache chache tena zikazaa points za ubingwa ?

Siwezi kutafuta kumfunga simba bao 4 wakati mimi ndio wa kwanza kumtungua bao 5....

Fuatilia historia kama na hili hulitambui.
 
The issue was balanced. Can we compare Ajib vs Niyonzima? Who is great signing!! To me... Haruna its ok ( technically) though his scoring rate is poor.
 
Mbona tulikupiga chache chache tena zikazaa points za ubingwa ?

Siwezi kutafuta kumfunga simba bao 4 wakati mimi ndio wa kwanza kumtungua bao 5....

Fuatilia historia kama na hili hulitambui.
Na ni nani aliyetangulia kumtungua mwingine 6-0?
 
Na ni nani aliyetangulia kumtungua mwingine 6-0?

Nilitaka Uje Kwenye point hii hii.

Sasa hizi goli ndizo zilikupasa muwe mnajivunia nazo, na sio goli 5. Simba kawahi kupigwa 5 na Yanga, Yanga kawahi pigwa 5 na Simba.

Washauli wenzako hilo.
 
The issue was balanced. Can we compare Ajib vs Niyonzima? Who is great signing!! To me... Haruna its ok ( technically) though his scoring rate is poor.
But Kwenye aspects nyingi twaweza sema Ajibu ni chaguo zuri pia...
 
ila kiukweli ka-roho kametuuma kwelikweli!
 
Tuambatanishie Barua..

Maana mimi niko karibu na mlango wa jikoni. Kiingiacho & Kitokacho nakiona....
Jikoni wapi? Maana wengine walikuwa wanachukulia mshiko klabuni na wengine Kwalite plaza
 
Naona umetoa maelezo meeengi pasi kujibu swali la msingi, Ajibu kapewa ngap na Yanga..? Na hivo unavosema "He's local ina maana sio wa East Africa...?
 
Hali ya yanga sio Nzuri, hadi mashabiki wamechoma jezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…